BENKI YA CRDB WAINGIA MAKUBALIANO YA UTENGENEZAJI WA KADI ZA KISASA ZA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (kulia) akisaini mkataba na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Yanga, Fatma Karume kwa ajili ya kutengeneza kadi za kisasa za uanachama...
View ArticleAZANIA BENKI WAZINDUA AKAUNTI MPYA YA DHAMIRA
MKURUGENZI mtendaji wa Azania benki,Charles Singili amewataka wananchi kuwa na mazoea ya kujiwekea akiba kwa manufaa ya baadae. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa...
View ArticleWASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS ILALA 2014 WATAMBULISHWA RASMI KWA MASHABIKI WA...
Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao huku wakiongozwa na Mary Lucos (kushoto) katika show zao za kila Ijumaa kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar bila kusahau leo pia...
View ArticleWASAFIRI WA BASI LA AMANI EXPRESS WALALAMIKA BAADA YA KUSOTA NJIANI
Basi la abiria la kampuni ya Amani Express, likiwa limeshindwa kuendelea na safari yake baada ya kupata itilafu katika injini. Na Violet John, DACICOAbiria waliokuwa wakisafiri jana na basi la Amani...
View ArticleMBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AFUNGA KAMBI YA UVCCM
Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Mohamed Aziz Abood Akimkabidhi cheti Kada UVCCM Wilaya ya Morogoro mjini CCM,Wakati wa kufunga kambi ya UVCCM kutoka kata za Manispaa ya Morogoro eneo la Morning...
View ArticleAGA KHAN YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA MKOA WA MBEYA
Mwenyekiti wa kamati ya afya Aga Khan Mbeya Sultan Thawer (kushoto), akitoa taarifa kabla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya tiba kwa Halmashauri nne za Mkoa wa Mbeya juzi katika Ukumbi Mkapa jijini...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA TEMEKE AKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFALI ZILIZOTOLEWA...
Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine ya kufyatulia matofali mwenyekiti wa kikundi cha Mbagala Youth Group Said Mponda baada ya kuzipokea kutoka kwa Shirika la Nyumba la Taifa...
View ArticleSIMBA YAICHAPA GOR MAHIA 3-0, OKWI AANZA RASMI KIBARUA MSIMBAZI
Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 3-0 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha...
View ArticleWazazi watunza ndani Mtoto Mlemavu miaka 9, bila kutoka Nje.
Mtoto, Daniel Julius Mushi (12), mlemavu asiyetembeaanayetunzwa ndani kwa miaka 9 bila kutoka nje tangu 2005. (Picha na Bryceson Mathias)Na Bryceson Mathias, KikuyuWAZAZI wa Mtoto, Daniel Julius...
View ArticleMBUNGE WA JIMBO LA NZEGA DR.KHAMIS KINGWANGALLAH ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akitangaza nia yake ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wakati...
View ArticleBENKI YA CRDB KUJENGA TAWI LA KISASA KATIKA KIWANDA CHA DANGOTE- MTWARA
Ndege ya Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dangote ikiwasili katika uwanja wa Mtwara.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto),...
View ArticleOKWI NI MCHEZAJI HALALI WA SIMBA-TFF
OKWIKamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo (Septemba 7 mwaka huu) na kupitia masuala mbalimbali ikiwemo mgogoro wa kimkataba kati ya klabu...
View ArticleUTT ILIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI 2014...
Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake wakiwa katika banda la Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT) Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014, yaliyofunguliwa katika...
View ArticleNAPE ATOA DARASA KWA VIONGOZI WA CCM UINGEREZA
Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa mashina ya CCM Uingereza ambapo aliwaambia matawi ya CCM nje ya nchi yawe mawakala wa kuleta mabadiliko ndani ya chama...
View ArticleLAPF YAZINDUA HUDUMA MPYA YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANACHAMA WAKE
Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi huo. Baadhi ya wageni waalikwa walioshiriki katika hafla ya uzinduzi wa ‘Piga Kitabu na LAPF’ Mkopo...
View ArticleSAKATA LA OKWI YANGA KWENDA FIFA
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utapinga maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi kuwa huru.Mwenyekiti wa Kamati ya...
View ArticleMWAMUZI WA SOKA DAVID LUGENGE AFARIKI
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mwamuzi wa daraja la kwanza (class one), Luteni David Lugenge kilichotokea jana (Septemba 7 mwaka huu) kwa ajali ya gari...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA WAJUMBE WA TCD
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) alipokutana nao kwenye Ikulu ndogo mjini Dodoma leo. (Picha na Ikulu)
View ArticleTamasha la 'Handeni Kwetu' lapania kuvunja rekodi
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMRATIBU Mkuu wa Tamasha la Utamaduni Handeni, maarufu kama ‘Handeni Kwetu’, Kambi Mbwana, ameapa kuhakikisha kuwa tamasha lao msimu wa 2014 linakuwa la aina yake na...
View Article