
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akitangaza nia yake ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wakati alipokutana na waandishi wa habari kwenye ambapo amesema hajasukumwa na mtu yeyote ila ni yeye mwenyewe ameamua kwa moyo wake.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akimtambulisha mke wake Dr Bayoum Awadh wakati wa mkutano huo.
Mzee Nasser SAid Mussa baba mzazi wa Dr. Khamis Kigwangallah na mama yake mzazi Mama Bagaile Lumola.



Mzee Nasser SAid Mussa baba mzazi wa Dr. Khamis Kigwangallah na mama yake mzazi Mama Bagaile Lumola na watoto wake Sheila.
Mchungaji Patrick Saso akifanya maombi kabla ya kuanza kwa mkutano huo.


Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.

Sheikh Abubakary Mwita akiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano huo.