Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFALI ZILIZOTOLEWA NA (NHC)KWA VIKUNDI VYA VIJANA

$
0
0
5 
Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine ya kufyatulia matofali mwenyekiti wa kikundi cha Mbagala Youth Group Said Mponda baada ya kuzipokea kutoka kwa Shirika la Nyumba la Taifa NHC ambalo limetoa mashine kwa vikundi hivyo ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana mashine hizo zilikabidhiwa kwa mkuu wa wilaya na Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC tawi la Temeke Bw. Wencenslaus Tillya.
3 
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akipokea mashine za kufyatulia matofali kutoka kwa Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Wilaya ya Temeke Bw. Wencenslaus Tillya ambazo zilikabidhiwa kwa vikundi vya vijana wilayani humo.
 
4 
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine kwa mwenyekiti wa kikundi cha Sokoine Youth Development William Gabriel.
6 
Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine ya kufyatulia matofali mwenyekiti wa kikundi cha Chang'ombe Youth Development Eunice Mlwale baada ya kuzipokea kutoka kwa Shirika la Nyumba la Taifa NHC8 
Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine ya kufyatulia matofali mwenyekiti wa kikundi cha Chapakazi Youth Youth Nathanaeli Daniel Kidaila baada ya kuzipokea kutoka kwa Shirika la Nyumba la Taifa NHC9 
Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akiwa katika picha ya pamoja na vikundi hivyo mara baada ya kukabidhi mashine za kufyatulia matofali kwa vikundi vya vijana vya Temeke ambazo zimetolewa na Shirika la Nyumba la Taifa NHC Kulia kwa Mkuu wa Wilaya ni Wencenslaus Tillya Meneja wa NHC Temeke. 10 
Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba NHC na baadhi ya maofisa wa Manispaa ya Temeke.11 
Baadhi ya waandishi wa habari na vijana waliojitokeza katika makabidhiano hayo wakiwa katika hafla hiyo.12 
Baadhi ya mashine za kufyatulia matofali.
13 
Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akimzikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Bw. John Bwana wakati alipokuwa akitoa shukurani zake kwa shirika la Nyumba NHC kwa kutoa mashine hizo, wa pili kutoka kulia ni Wencenslaus Tillya Meneja wa NHC wilaya ya Temeke.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>