MJADALA; WATANZANIA DIASPORA, TUNAWATAKA WAJENGE VIHENGE NYUMBANI, LAKINI...
Niliongoza mjadala kwenye redio za Kwanza Jamii na Nuru FM kuhusiana na kongamano linaloendelea Dar la Watanzania wa Diaspora wanaokutana nyumbani, Tanzania. Ni kwa nini tuna hofu na Watanzania wenzetu...
View ArticleJAJI BWANA NDIYE MWENYEKITI MPYA BARAZA LA CHUO KIKUU HA BAGAMOYO (UB)
Na Mwandishi WetuBODI ya Wadhamini ya Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB), imemteua Jaji wa Mahakama ya Rufaa nchini, Dk.Stephen Bwana Kuwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la chuo hicho.Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleMAMA ASOGEZA MBELE NDOA YA TUNDA MAN
Na Elizabeth JohnNYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ amesema hatafunga ndoa mwaka huu kama alivyotangaza awali kutokana na kuuguliwa na mama yake mzazi.Awali Tunda...
View ArticleTFF KUREJESHA OFISI ZAKE KARUME
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa awali.Uamuzi huo...
View ArticleMwanafunzi wa Tanzania Aibuka mshindi wa Kwanza Tuzo ya Isha SADC
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Neema Steven Mtwanga (16) anayesoma katika shule ya sekondari Naboti Makambako,Njombe baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika...
View ArticleRais Mugabe amtunuku Brigedia Jenerali (Mstaafu) Hashim Mbita
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Rais Robert Gabriel Mugabe wa Zimbabwe akimkabidhi Bi. Sheila Hashim Mbita, binti yake Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita Tuzo ya...
View ArticleNSSF YAKUTANA NA MAAFISA RASILIMALI WATU WA TAASISI ZA KIFEDHA
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori akifafanua jambo kwa washiriki wa kongamano la Maofisa Rasilimali watu wa Taasisi za Kifedha lililofanyika Morogoro Hotel.Baadhi ya washiriki wa...
View ArticleWasanii walioshiriki tamasha la KIlimanjaro Music Tour 2014 mjini Dodoma...
Baadhi ya Wasanii waliokuwa kwenye onesho la Kilimanjaro Music Tour lililofanyika mkoani Dodoma jana,leo walipitia nyumbani kwa Mfalme wa Rhymes a.k.a Simba Mzee a.k.a Afande Sele kumpa mkono wa pole...
View ArticleFIKIRINI SULEIMAN BADO MCHEZAJI WETU-COASTAL UNION
Na Mwandishi Wetu, Tanga UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union “Wagosi Kaya “umekanusha vikali taarifa zilizoenezwa kuwa mlinda mlando wa kikosi cha Vijana wenye umri chini ya miaka ishirikini U-20...
View ArticleCOASTAL UNION KUPIGA KAMBI PEMBA
Na Mwandishi Wetu, TangaTIMU ya Coastal Union ya Tanga inatarajiwa kundoka mkoani hapa Jumanne kuelekea Kisiwani Pemba kwa ajili ya kuweka kambi ya Mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu soka...
View ArticleCHUO KIKUU CHA BAGAMOYO (UB) CHATOA MAFUNZO KWA MAOFISA WA SERIKALI KUTOKA...
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa kuwajengea uwezo maofisa wa serikali kuhusu uandikaji wa mikataba inayohusu Uwekezaji na Biashara wakiwa katika majadiliano wakati wa mkutano huo....
View ArticleFIFA KUBORESHA MAKAO MAKUU YA TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu duniani (FIFA) limeahidi kuboresha makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) yaliyoko kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala ili yawe katika kiwango...
View ArticleSerikili kutatua mchangamoto za barabara kuwezesha miradi ya NSSF kufanikiwa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia maendeleo ya daraja la Kigamboni wakati alipofanya ziara ya kukagua ujenzi wake.Mhandisi Joh Msemwa akitoa maelezo kwa Waziri Mkuu kuhusu ujenzi wa daraja la...
View ArticleRAZACK SIWA ATUA RASMI COASTAL UNION
Na Mwandishi WetuAliyekuwa Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa...
View ArticleVIJIJI 120 KUFIKIWA NA UMEME
Na Ferdinand Shayo, ArushaVijiji 120 vilivyopo mkoa wa Arusha vinatarajia kufikiwa na huduma ya umeme kupitia mpango wa kusambaza umeme vijijini...
View ArticleWAZIRI MKUU MH: PINDA MGENI RASMI UZINDUZI WA JUKWAA LA KILIMO
Katibu Mtendaji Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na masuala ya kilimo (Ansaf), Audax Rukonge akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es...
View ArticleIGP MANGU AKUTANA NA MASHEIKH WA MIKOA NCHINI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na masheikh wa mikoa na maimamu wa misikiti katika ukumbi wa bwalo la maafisa wa Polisi wakati wa kikao cha muendelezo wa kampeni ya...
View ArticleDK. EDMUND MNDOLWA: MSIWABUGHUDHI VIONGOZI WALIOPO MADARAKANI WAACHENI...
Na Dotto MwaibaleWanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kuacha kuwabugudhi viongozi waliopo madarakani kwa kuchaguliwa waendelee kuchapa kazi badala ya kuanza kuzihitaji nafasi zao kabla ya...
View ArticleNISSAN PATROL INAUZWA
Nissan Patrol ipo sokoni.Nissan Patrol, Engine TD42, 4200CC,Diesel, Manual, Make 1997.Wasiliana kwa namba 0752 753 309
View ArticleCHUO KIKUU CHA BAGAMOYO CHAWAFUNDA MAOFISA BIASHARA WA NCHI 15
Mtaalamu wa kujadili mikataba kutoka World Trade Organization (WTO), Prof. Dickson Yeboah akitoa mada jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa Kimataifa wa kuwajengea uwezo maofisa wa serikali kutoka...
View Article