TAARIFA KWA WABUNGE NA WAGOMBEA WATARAJIWA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2015 TANZANIA
Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Rais unataraji kufanyika hapo mwakani, Wabunge na wanaotaka kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali nchini hata urais mnakaribishwa kuandaa TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI...
View ArticleMwenyekiti wa CCM Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri...
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwenye ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma. PICHA NA IKULUMwenyekiti wa CCM...
View ArticleRAIS KIKWETE ATOA RAMBIRAMBI KWA JAJI MAKAME
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis...
View ArticleCOASTAL UNION WAENDA PEMBA KUWEKA KAMBI
Wachezaji wa Coastal Union wakipanda Ndege kuelekea Pemba kwa ajili ya kuweka kambi ya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara,safari hiyo imedhaminiwa na wafadhili...
View ArticleOpen Call for Fashion Designers: Opportunity to participate in London Fashion...
Open call to all Tanzanian or Tanzanian-based designers and fashion houses!The Tanzanian Embassy, UK in association with the British Council and the British...
View ArticleMAAMUZI YA KIKAO CHA KAMTI KUU MJINI DODOMA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM Dodoma.Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma ,Katibu wa NEC...
View ArticleRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI DARAJA LA KILOMBERO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia wananchi kwa furaha wakati akielekea ukingoni mwa Mto Kilombero kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la kudumu juu ya mto Kilombero Agosti 20, 2014....
View ArticleSHEIKH FARID ADAI ALIHOJIWA AKIWA UCHI
Watuhumiwa wa kesi ya Ugaidi wakiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo.Wakiingia Mahakamani.Sheikh Farid akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
View Article'COASTAL UNION YAMFUNGIA BANDA KUCHEZA SOKA KWA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA'
UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga umemfungia aliyekuwa beki wa kushoto Abdi Banda kucheza mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya kukosa nidhamu na kusaini...
View ArticleKinara wa matukio ya kigaidi na ulipuaji wa mabomu hapa nchini anayetafutwa...
'Sensei' Yahaya Hassan Hella pichani kinara wa matukio mbalimbali ya uripuaji wa mabomu hapa nchini ambaye jeshi la polisi na vyombo mbalimbali vya usalama vinamtafuta huku serekali ikitangaza dau kwa...
View ArticleWADAU WA KILIMO WAITAKA ANSAF KUTOA ELIMU ZAIDI YA UHIFADHI MAZAO JAMII YA...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara yaKilimo, Chakula na Ushirika, , Yamungu Kayandabila akionyesha mbegu za mahindi zilizohifadhiwa kwenye ghala aina ya Silo, wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la wadau wa...
View ArticleSKYLIGHT BAND NDIO HABARI YA MUJINI KWA SASA, KARIBU THAI VILLAGE TUSEBENEKE...
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiwajibika jukwaani Ijumaa iliyopita kwenye show zake za kila siku ya Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.....Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth...
View ArticleKAMPUNI YA TANZANIA DISTILLERIES LTD (TDL) YAZINDUA KINYWAJI KIPYA CHA...
Mkurugenzi mtendaji wa TDL David Mgwasa akielezea na kutoa ufafanuzi wa Kinywaji kipya aina ya Fyfe's. Kampuni ya Tanzania distilleries ltd (tdl) Juzi Tarehe 20 mwezi wa 8 2014 imefanya uzinduzi wa...
View ArticleWANACHAMA COASTAL UNION WATAKA UCHAGUZI MKUU
WANACHAMA wa Klabu ya Coastal Union bado wameonyesha nia ya kutokumkubali Makamu Mwenyekiti wa klabu,Steven Mguto hiyo na kuomba uitishwe mkutano mkuu wa uchaguzi ndani ya kipindi cha miezi mitatu ili...
View ArticleSERIKALI YAKIPONGEZA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO (UB)
Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB), Profesa Costa Mahalu akizungumza wakati wa kufunga Mafunzo hayo ya siku 14 yaliyoshirikisha maofisa wa juu wa fani ya biashara wa Serikali za nchi nane ambayo...
View ArticleRAIS KIKWETE AWEKA AFUNGUA KITUO CHA AFYA KIBAONI, MOROGORO VIJIJINI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete pamoja na Wabunge Mhe Abdul Mketeme...
View ArticleRais Kikwete atawazwa kuwa chifu msaidizi wa waluguru na chifu kingalu huko...
CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14, akijiandaa kumtawaza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Chifu Msaidizi wa kabila hilo katika sherehe za aina yake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya...
View ArticleREAL MADRIAD LEGENDS VS TANZANIA 11, APATOSHI UWANJA WA TAIFA
Mchezaji wa timu ya Real Madrid Legends, Luis figo akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu mchezo wao dhidi ya Tanzania First Eleven unaofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa,...
View ArticleSNURA KUUNGURUMISHA 'MAJANGA' TARIME
NA MWANDISHI WETUMWANAMUZIKI mahiri Tanzania na Afrika Mashariki katika mtindo wa mduara, Snura Mushi, anatarajiwa kutumbuiza kwenye Viwanja Vya Nyamongo, Rorya, onyesho ambalo linatarajiwa kuwa la...
View Article