Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

KIUNGO WA KATI WA GORMAHIA YA KENYA ATUA COASTAL UNION,ASAINI MKATABA WA...

UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga umeizidi kete klabu ya Simba SC baada ya kumsajili kiungo kati wa timu ya Gormahia ya nchini Kenya,Rama Saluma Mohamed aliyekuwa akiwaniwa na klabu hiyo.Rama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAKANUSHA KUWEPO KWA UGONJWA WA EBOLA NCHINI

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Shaaban Mwinjake. Mkurugenzi Msaidizi wa Dharura  na Maafa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Elias Kwesi, akizungumza katika mkutano na...

View Article


Under The Same Sun waitaka Serikali Kuunda Kikosi Kazi

Na Rose Masaka, MAELEZO, Dar es SalaamSHIRIKA la Under The Same Sun kwa kushirikiana na chama cha watu wenye ulemavu wa ngozi nchini (TAS), kimeiomba Serikali kuangali au uwezekano wa kushirikiana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA KAMILI YAENDA ZANZIBAR KUWEKA KAMBI YA MAZOEZI

 Baadhi ya wachezaji wa Simba, Amri Kihemba (kushoto) na Said Nassoro 'Cholo' wakielekea kupanda boti katika Bandari ya Dar es Salaam leo, kwa ajili ya safari ya kwenda Zanzibar kwenye kambi ya mazoezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WAPYA 20 IKULU...

 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Panterine Muliis Kente kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais jakaya Mrisho Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATAKIWA KUPUNGUZA BAJETI ZA WIZARA

Baadhi ya wajawazito wakiwa wamekaa chini kutokana na uhaba wa vitanda.NA SYLVESTER DAVIDTAASISI isiyo ya kiserikali ya Society Watch,imeishauri serikali kupunguza  gharama za uendeshaji wa Ofisi za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mjane wa Rais Abdulwakil Afariki Dunia

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi wengine katika kumswalia aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais Idrisa Abdulwakil (awamu ya...

View Article


WATATU WAFARIKI DUNIA KWA KUCHOMWA MOTO

DAR ES SALAAM, TanzaniaWATU watatu wamefariki Dunia jijini Dar es Salaam baada ya kupigwa na kuchomwa moto na  wananchi kwa tuhuma za wizi wa piki piki.Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited...

Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa NHC, David Shambwe akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano kati ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZOEZI REDD'S MISS TEMEKE YAPAMBA MOTO

 Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd's Miss Temeke, wakipozi wakati wa mazoezi  katika Klabu ya TCC, Chang'ombe, Dar es Salaam. Mashindano yatafanyika kwenye klabu hiyo, Agosti 22,mwaka huu.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARIA AIBUKA KIDEDEA REDD'S MISS KINONDONI

 Redd's Miss Kinondoni, Maria Shilla (katikati), akiwa na furaha baada ya kutangazwa mshindi. Kulia ni mshindi pili, Camilla Cindy John na mshindi tatu, Queen Latifa Hashim. (Picha na Francis Dande)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA KWANZA WA DIASPORA KATIKA PICHA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa kwanza wa Diaspora katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua tovuti rasmi ya Diaspora wakati wa...

View Article


MBILE V/S MSHALE DIMBANI KESHO, MSHIKAMANO CUP

NA SILVESTER DAVIDTIMU za soka za Mbile FC na Mshale FC leo zitashuka dimbani katika mechi ya fainali ya kuwania ubingwa wa michuano ya Kombe la Mshikamano itakayopigwa uwanja wa Kinnes, Urafiki,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JEFFRYDER: MASHABIKI IPOKEENI 'MSALITI'

NA SYLVESTER DAVIDMSANII chipukizi wa muziki wa Hip Hop nchini,Jafari  ahmed, ‘Jefryder’,amesema vyombo vya habari havisaidii kukuza muziki wa wasanii wachanga na huendelea kukuza migogoro baina ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZMA, "MVUA YA MAPENZI' NIMEFANYA NA NAKAAYA

NA SYLVESTER DAVID MASANII maarufu wa muziki wa Hip Hop nchini,Azma M ponda ‘Azma’, amewataka mashabiki wake wakae tayari kwa ujio wa wimbo mpya aliomshirikisha Nakaaya Sumari ‘Nakaaya’ uitwao ‘Mvua ya...

View Article

Wadau soka Sumbwanga waipa tano Mbeya City

NA KENNETH NGELESI,SUMBAWANGAWADAU wa soka Mjini Sumbwanga wamefurahishwa uamuzi uliofanywa na timu ya Mbeya Cit FC wa kuipeleka timu hiyo na kufungua matawi katika ukanda wa Mikoa ya Rukwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAMAHIAJI HARAMU 21 WAKAMATWA NJOMBE WAKIPENYA KWENDA NCHI ZA KUSINI MWA...

Hawa ni raia wa Ethiopia ambao walikamatwa  Makambako  Njombe.hapa  wakipata  chai  baada ya kukamatwaHivi  ndivyo  walivyokuwa  wakiishi katika  lori  hiloHili  ndilo  lori  lililokuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete ahudhuria Mkutano wa 34 wa SADC Victoria Falls

 Rais Dkt. Jakaya Kikwete akipokea maua kutoka kwa watoto leo muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa mji wa Victoria Falls  nchini Zimbabwe ambapo atashiriki katika mkutano wa 34 wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EXTRA BONGO KUSINDIKIZA MASAI SAFARI BANDI KATIKA UZINDUZI WA ALBAM YAO

Wapiga magitaa wa bendi ya masai safari band wakichalaza magitaa wakati wa mazoezio yao ya kujiandaa na uzinduzi wa albam yao ya kwanza kushoto Josephe Bivence na Juma AliWapiga magitaa wa bendi ya...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>