KMKM MABINGWA LIGI KUU YA GRAND MALT ZANZIBAR
Waziri Asiye na Wizara Maalum wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Machano Othman akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 10 nahodha wa timu ya KMKM, Maulid Ibrahimu baada ya kutwaa...
View ArticleMAYWEATHER Jr AMCHAPA ROBERT GUERRERO KWA POINTI
Bondia Floyd Mayweather Jr (kushoto) akimsulubu Robert Guerrero katika pambano la masumbwi kwenye Ukumbi wa MGM Grand Garden, jijini Las Vegas, Marekani. Mayweather Jr alishinda kwa pointi pambano...
View ArticleWLADIMIR KLITSCHKO AMCHAPA FRANCESCO PIANETA NA KUTETEA WBA, WBO, IBF NA IBO
Mchumba wa Wladimir Klitschko, Hayden Panettiere, akishangilia wakati mpenzi wake akiwaga dozi ulingoni na kumchapa Francesco Pianeta wa Italia. Wladimir Klitschko akiwa na mikanda yake ya WBO, WBA,...
View ArticleSIMIBA YAICHEZESHA GWARIDE RUVU SHOOTING, YAIFUNGA 3-1
Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo (kushoto) akiwania mpira na beki wa Ruvu Shooting, Shaban Suzan katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar...
View ArticleMMOJA AFARIKI NA WENGINE 60 WAJERUHIWA VIBAYA KATIKA MLIPUKO WA BOMU JIJINI...
Baadhi ya majeruhi wakiwa wameanguka chini kufuatia shambulio la bomu lililofanywa na mtu asiyejulikana ambapo zaidi ya watu 60 wamejeruhiwa na wengine 42 hali zao ni mbaya, tukio hilo lilitokea katika...
View ArticleRais wa Zanzibar Dk. Shein awasili Pemba kwa uzinduzi wa mwenge wa uhuru...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh, Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Jeshi na Usalama wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba Mei,5,2013...
View ArticleSVG YATIMIZA MWAKA MMOJA
Watoto pia walishiriki kwenye zoezi la upandaji miti. Zoezi la upandaji miti liliendeshwa mitaa mbalimbali ya Kilimahewa. Wakazi wa Kilimahewa wakichangamkia zoezi la kupanda miti.Wana SVG...
View ArticleWALIOKUFA KATIKA MLIPUKO ARUSHA WAFIKIA WATATU
Takriban watu watatu wamekufa kwenye mripuko wa bomu Jumapili asubuhi katika kanisa Katoliki la Olasiti nje kidogo ya mji wa Arusha, Tanzania.Kwa mujibu wa Padri Festus Mangwangi ambaye ni paroko...
View ArticleTAMKO LA RAIS JUU YA TUKIO LA ARUSHA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax:...
View ArticleKIKWETE MGENI RASMI MAONESHO YA WIKI YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII MEI 13
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu Wiki ya...
View ArticleKUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk.Emmanuel Nchimbi akitoka nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo mara baada ya kuwasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake...
View ArticleTaswa FC, Taswa Queens kuumana na Bongo Movie Jumamosi
Na Mwandishi WetuTIMU ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC na timu ya netiboli, Taswa Queens Jumamosi zitacheza na timu ya wacheza filamu, Bongo Movie FC na Bongo Movie Queens...
View ArticleWIKI YA UMOJA WA ULAYA NA KAZI ZA KIJAMII
Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Mh. Filiberto Sebregondi (katikati) akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam juu ya Wiki ya Umoja wa Ulaya itakayoadhimishwa...
View ArticleRais wa Zanzibar awasha mwenge wa uhuru kitaifa Chokocho mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasha Mwenge wa Uhuru Mei 6,2013 katika uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa katika sheiha ya Chokocho,...
View ArticleBONDIA SAID MBELWA AMGALAGAZA SAID MKONDE KWA K.O
Bondia Omari Zungu akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Haruna Sinondo wakati wa mchezo wao uliofanyika Chanika mwishoni mwa wiki iliyopita Sinondo alishinda kwa K,O raundi ya pili. (Picha na...
View ArticleAFISA UTAMADUNI JIJI LA TANGA AKAGUA KAMBI YA TAIFA YA MISS UTALII TANZANIA...
Afisa Utamaduni Jiji la Tanga, Peter Semfuko (katikati) ,Matron Hilda Mwinyi (Kulia), na mratibu wa kamati ya maandalizi Kessy Salum Mbasha (Kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa...
View ArticleTAMASHA LA UZINDUZI WA AIRTEL YATOSHA KATIKA PICHA
Kikundi cha wakali dansi cha Temeke kikitoa burudani katika tamasha la maalum la uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya zakhem-Mbagala jijini Dar...
View ArticleVIJANA TANGA KUINULIWA KIUCHUMI KUPITIA KILIMO
Na Mwandishi Wetu, KondoaMWENYEKITI wa Wazazi Mkoa wa Tanga, Dk. Edmund Mndolwa, ameahidi kuinua uchumi wa Mkoa wa Tanga kupitia kilimo cha biashara ili kuwakomboa vijana kiuchumi.Akizungumza wakati wa...
View ArticleMKUU WA MKOA WA MBEYA APOKEA TUZO ZA SAFARI LAGER KWA SHANGWE
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akimkabidhi rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (kulia) Tuzo za Bia ya Safari Lager ilizoshinda katika mashindano ya Bia Afrika...
View ArticleFERGUSON ABWAGA MANYANGA KUINOA MAN UNITED
Kocha wa Man United, Sir Alex FergusonLONDON, EnglandMskochi huyo aliyetwaa mataji zaidi ya 30 katika miaka yake 26 ya kuinoa Manchester United, vikiwamo vikombe 13 vya Ligi Kuu ya hapa, anatarajia...
View Article