Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

RAIS KIKWETE ATEMBELEA KANISA LILILOPIGWA BOMU ARUSHA

View Article


BABA PAROKO WA KANISA LA OLASITI LILILOSHAMBULIWA NA BOMU ARUSHA AKIONGEA

View Article


RAIS KIKWETE ALIPOONGEA NA WANAHABARI BAADA YA KUTOA POLE KWA WAFIWA NA...

View Article

Rais Kikwete alipoongea na Maaskofu wa madhehebu mbalimbali wa Arusha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFARIJI MAJERUHI WA BOMU WALILAZWA HOSPITALI YA MTAKATIFU...

 Taswira wakati Rais Kikwete alipotembelea hospitali ya St Elizabeth jijini Arusha kufariji majeruhi wa mlipuko wa bomu katika kanisa la Olasiti jijini humo Jumapili iliyopita. PICHA NA IKULU.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAIFA LINA NYUFA

NDUGU  KABWE Z. ZITTO, MB – BUNGENI TAREHE 6 MEI, 2013Mheshimiwa Mwenyekiti, nakushukuru sana kwa kunipa nafasi ili niweze kuchangia leo katika mjadala huu muhimu sana.Hapa Afrika kulikuwa  kuna nchi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU AWAKUTANISHA RC NA LEMA KUTOA MISAADA YA KIJAMII

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (katikati) akiwa na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema (kushoto) na Mkuu wa mkoa wa Arusha Maggesa Mulongo wakati wakikabidhi misaada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEMINA YA KUJADILI CHANGAMOTO ZA SOKO LA MUZIKI AFRIKA MASHARIKI 'DOADOA'...

Waendesha mada katika semina ya kuangalia changamoto katika soko la muziki Afrika Mashariki na njia za kuzitatua wakijadili umuhimu wa elimu ya muziki katika soko la muziki, kutoka kulia ni Katibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJAWAZITO HEMBAHEMBA WAIKABA KOO SERIKALI

Ni kwa kufuata Huduma ya Uzazi Kilomita 15Na Bryceson MathiasWAJAWAZITO wa Hembahemba Kata ya Njoge Wilaya ya Kongwa, Wameikaba Serikali na kuitupia Lawama kwa kushindwa kuwapatia Madawa na wafanyakazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU

ILIKUWA NI SEKUNDE, DAKIKA, SAA, WIKI, MWEZI NA SASA NI MWAKA MMOJA UMETIMIA TANGU BIBI YETU KIPENZIAKANASHE SHEDRACK MAKERE UTUTOKE GHAFLA TAREHE 08/05/2012 SAA 10 JIONI BILA YA KUTUAGA KUTOKANA NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIMITROV AMNG'OA DJOKOVIC MADRID OPEN 2013

Novak Djokovic akirudisha mpira kwa mpinzani wake Grigor Dimitrov (hayuko pichani, katika mechi ya raundi ya pili ya michuano ya Madrid Open 2013 juzi.MADRID, HispaniaDimitrov, anayekamata nafasi ya 28...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA PUMA YAINGIA MKATABA KUIVALISHA ARSENAL

Juu: Logo ya 'Washika Bunduki' Arsenal FC. Chini: Mashabiki wa soka nje ya Uwanja wa Emirates jijini London, unaomilikiwa na ArsenalLONDON, EnglandMkataba wa sasa wa Arsenal na Kampuni ya Nike, wenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. CHARLES KIMEI ACHAGULIWA KUWANIA TUZO YA KIONGOZI BORA WA MABENKI AFRIKA...

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (pichani) amechaguliwa kwenye mchakato wa kumtafuta “kinara wa Benki wa Afrika”  kwa mwaka 2013 unaoendeshwa na  African Banker Awards chini ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARNABA, KIDUMU KUPAMBA MATEMBEZI YA HISANI 'STEP AHEAD WALK 2013

Msanii machachari wa Bongo Flava, Barnaba, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Matembezi ya Hisani ya 'Step Ahead Walk 2013,' yatakayopambwa na kibao chake kiitwacho Wanawake alichoimba kwa ushirikiano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAVID MOYES AMRITHI ALEX FERGUSON KUINOA MAN UTD

 Kocha wa Everton anayemaliza muda wake, David Moyes akienda kuaga kwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Bill Kenwright leo alasiri. Hapa Moyes akiingia ofisini kwa Kenwright kwa ajili ya mazungumzo ya kumuaga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHASIBU MKUU JAMBO LEO AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited, marehemu Vick MgoyoMHASIBU Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts (T) Limited inayochapisha gazeti la Jambo Leo, Staa Spoti, Dar Metro...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAINALI YA POOL KWA VYUO VIKUU KUFANYIKA MOROGORO MEI 11

 Meneja Mauzo Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wa Mkoa wa Morogoro, Jemes Gomile(kushoto) akimkabidhi Vifaa vya michezo,Nahodha wa timu ya Chuo cha SUA, Calvin Mjema wakati wa hafla fupi ya kukabidhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA, MGAMBO SHOOTING ZAINGIZA MIL 16

Mechi namba 149 ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Simba na Mgambo Shooting iliyochezwa juzi (Mei 8 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika kwa Simba kushinda bao 1-0 imeingiza sh....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA SEMINA YA SOKO LA MUZIKI AFRIKA MASHARIKI 'DOADOA'...

 Washiriki katika semina ya kujadili changamoto za soko la muziki Afrika Mashariki wakifuatilia moja ya mada kwenye hotel ya Crasted Crane mjini Jinja, Uganda. Mwanmuziki kutoka Kenya, Winyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA WATU WATATU WALIOKUFA KWA BOMU ARUSHA

 Miiili ya waliopoteza maisha katika katika mlipuko wa bomu uliotokea hivi karibuni katika kanisa la Mt.Joseph Mfanyakazi lililopo kata ya Olasiti mkoani Arusha,ikiwa tayari kwa ajili ya mazishi. Picha...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>