Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

SIMIBA YAICHEZESHA GWARIDE RUVU SHOOTING, YAIFUNGA 3-1

$
0
0
Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo (kushoto) akiwania mpira na beki wa Ruvu Shooting,  Shaban Suzan katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-1. (Picha na Habari Mseto Blog)
Mshambuliaji wa Simba, Amri kihemba akimtoka beki wa Ruvu Shooting
Kocha Mkuu wa Simba akiteta jambo na beki wa timu hiyo, Shomari Kapombe.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>