Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

NIMESAHAU LAPTOP YANGU AINA YA HP KWENYE HAFLA YA UZINDUZI WA SABUNI MPYA YA OMO FAST ACTION HOTELI YA SERENA

$
0
0

Ndugu mpendwa nimesahau Laptop yangu aina ya HP wakati wa hafla ya uzinduzi wa sabuni ya Omo Fast Action katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana. Kwa yeyote ambaye atakuwa nayo naomba uwasiliane nami kwa namba hizi za simu- 0712-727062-0754-362990 au unaweza kuniletea Ofisi za Gazeti la Jambo Leo zilizopo Ghorofa ya 9, Hifadhi House, Barabara ya Samora na Azikiwe uliza Dotto Mwaibale. Asante kwa ushirikiano mungu akubariki sana.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>