BITEKO AZIASA BENKI KUENDELEA KUDHAMINI MANESHO YA WAFUGAJI KIBIASHARA
Naibu Waziri Mkuu Dk. Doto Biteko (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Kilimo, Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Christopher Mwalugenge (wapili kushoto) alipotembelea Banda la benki ya...
View ArticleRITA yaunda kamati ya kusimamia msikiti Arusha
Na Mwandishi Wetu, ArushaWAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini nchini (RITA)umeunda Kamati ya muda itakayochukua majukumu ya Bodi ya Udhamini iliyomaliza muda wake ya Taasisi ya Arusha Muslim sambamba...
View ArticleGawio la TPA lawakosha wadau
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWADAU mbalimbali nchini wamezungumzia gawio la Sh bilioni 153.9 kwa serkali kuu kwa mwaka 2023/24 lilitolewa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ni matokeo ya...
View ArticleUbalozi wa Marekani Dar es Salaam wazindua Shindano la Teknolojia (U.S....
Dar es Salaam, 18 Juni 2024 – Mshauri wa Diplomasia ya Umma wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania Jeanne Clark leo katika hafla iliyoandaliwa na AidData/REPOA yenye mada kuu isemayo “Wekeza kwa Watu...
View ArticleSerikali yafurahishwa kuanzishwa kwa kampuni ya bima ya ‘CRDB Insurance Company’
· Kamishna sekta ya fedha asema itasaidia kufikia lengo la kuwahudumia walau 50% ya Watanzania wenye umri wa kuanzi amiaka 18 ifikapo mwaka 2030Kamishna wa Uendelezaji wa Sekta ya Fedha nchini,...
View ArticleDC KISARAWE AUNGANA NA WATAALAM KUJIONEA MWENENDO MRADI WA VISEGESE
NA VICTOR MASANGU, KISARAWE Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mhe. Petro Magoti amefanya kikao kazi na wataalam wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyi pamoja na Kamati ya Usalama Wilaya kwa...
View ArticleMbunge Lugangira aongoza maandamano kupinga ukatili
Na Mwandishi Wetu, KageraWANAWAKE wa Mkoa wa Kagera wakiongozwa na Mbunge wa Viti Maalum mkoani hapo Neema Lugangira wamefanya maandamano kupinga ukatili dhidi ya watu wenye ualbino, ikiwa ni siku...
View ArticleWakazi Kigoma wahimizwa kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika Daftari...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi wa mkoa wa Kigoma uliofanyika leo tarehe 19 Juni, 2024 katika...
View ArticleWANAWAKE UWT KIBAHA MJI YAMPA TANO MBUNGE KOKA NA MKEWE KWA KUWASHIKA MKONO
NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Umoja wa wanawake (UWT) Wilaya ya Kibaha mji umempongeza kwa dhati Mbunge wa jimbo la Kibaha mjini Mhe. Silvestry Koka pamoja na mke wake Mama Selina Koka kwa juhudi na sapoti...
View ArticleBenki ya CRDB, Nala wasaini makubaliano ya kibiashara kuimarisha zaidi huduma...
Mkurugenzi wa Wateja wa Awali na wa Kati wa Benki ya CRDB, Bonaventura Paul (kulia) na Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Nala, Benjamin Fernandes (kushoto) wakisaini mkataba wa...
View ArticleMA-RC, MA-DC ANZISHENI OPERESHENI MAALUMU ZA ULINZI – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wahakikishe kila halmashauri inaanzisha operesheni maalum za ulinzi kwa watu wenye ualbino. “Operesheni hizi zihusishe vikosi vya...
View ArticleWanawake nyenzo ya kuzuia biashara haramu ya viumbe pori
Na Selemani MsuyaIMEELEZWA iwapo wanawake watapewa elimu ya kuzuia biashara haramu ya viumbe pori au wanyamapori, biashara hiyo itakoma na viumbe hao watakuwa endelevu.Hayo yameelezwa na Mkuu wa...
View ArticleNape awaomba wadau wa habari wamuamini
Na Selemani MsuyaWAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba wadau wa sekta ya habari kuwa na imani naye kuhusu vifungu 12 vinavyolalamikiwa katika Sheria ya Huduma ya...
View ArticleINEC YAWATAKA WATENDAJI WA UBORESHAJI KUTUNZA VIFAA
Na Mwandishi wetu, KigomaTume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetaka watendaji wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Mkoani Kigoma kuhakikisha wanatunza vifaa vya uandikishaji ili...
View ArticleWAZIRI KAIRUKI AHAMASISHA WATANZANIA KUSHIRIKI SHUGHULI ZA UFUGAJI NYUKI...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) akiwa ameongozana na Rais wa Apimondia, Dkt. Jeff Pettis (wa pili kutoka kushoto) wakisikiliza maelezo kuhusu shughuli za Wakala wa...
View ArticleUmoja wa Ulaya, UNCDF yaiunga mkono serikali kufikia malengo ya Nishati Safi...
Mkuu wa UNCDF Tanzania, Peter Malika akitoa maelezo kuhusiana na umuhimu wa kongamano hilo la kujadili mradi wa Nishati Safi ya Kupikia lililofanyika jijini Dar es Salaam.Mkuu wa UNCDF Tanzania,...
View ArticleACT-Wazalendo watia neno Bajeti Kuu ya Serikali 2024/25
Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT-Wazalendo, Isihaka Mchinjika, akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa uchambuzi wa Bajeti Kuu ya Serikali, iliyowasilishwa bungeni hivi karibu na Waziri wa Fedha,...
View ArticleTAASISI ZA UMMA ZITUMIE MIFUMO YA KIDIJITALI – WAZIRI MKUU
*Azindua mifumo minne ya kidijiti Serikalini WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za umma ziweke mipango madhubuti ya kutumia mifumo ya kidijitali ambayo italeta mageuzi ya kiutendaji na...
View ArticleSerikali 'yaipiga Jeki' NHIF kufikisha elimu kwa Umma
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko, akitoa hotuba yake wakati wa kufungua rasmi kituo cha kutoa elimu ya kujiunga na Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya (NHIF) iliyokwenda sambamba na upimaji wa afya...
View ArticleRAIS MSTAAFU DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA JOPO WAZEE WA JUMUIYA YA SADC...
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo tarehe 26 Juni, 2024, yuko katika Ufalme wa Lesotho kwa nafasi yake kama Mwenyekiti wa Jopo la Wazee wa...
View Article