Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC KIBAHA- RAIS SAMIA ATOA BILIONI 4 UJENZI WA DARAJA LA KUDUMU MTO MPIJI

NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Nickson Saimon amempongeza Rais kwa kuweza kutoa fedha  kiasi cha shilingi bilioni 4  kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa  daraja jipya la kudumu katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CRDB yaadhimisha Siku ya Wajasiriamali Duniani ikitoa Shilingi...

 >Yaahidi kuendelea kuwawezesha kwa mitaji nafuu na safari za kimataifa za kujifunza zaidiKaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (wapili kulia), Mkurugenzi wa Wateja wa Awali na wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM PWANI YAJIPANGA KUSHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

NA VICTOR MASANGU, PWANIChama cha mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu kimejiwekea mipango kabambe  ya kuhakikisha  kwamba wanapata wagombea wazuri  na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vijiji 70 vyanufaika na FORVAC

Na Mwandishi Wetu         ZAIDI ya vijiji 69 vya mikoa ya Tanga, Mkangara, Dodoma, Lindi na Ruvuma vimenufaika kiuchumi, kijamii na mazingira kupitia Mradi wa Kuongeza Mnyororo wa Thamani kwenye Mazao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISA-TAN yaomba kupunguza ada leseni mitandao ya kijamii

Mwandishi WetuTAASISI ya Habari Kusini mwa Afrika tawi la Tanzania (MISA-TAN), imeiomba serikali kupunguza viwango vya ada ya kuendesha mitandao ya kijamii (Blogs, Online Tv na YouTube ili kuvutia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAGCOT kuinua kilimo cha viazi mviringo

Na Mwandishi Wetu, Songea KITUO cha Kuendeleza Kilimo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania (SAGCOT) kimeulezea Mkoa wa Ruvuma kama ni eneo lenye ardhi nzuri inayofaa zaidi kwa uzalishaji wa kilimo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILIONI 346 KUTUMIKA KUIMARISHA USALAMA WA MILKI ZA ARDHI - MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Juni 28, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).  Dodoma, Tanzania WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imesaini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU: SERIKALI YATENGA SH. BILIONI 787 ZA MIKOPO YA WANAFUNZI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika mwaka 2024/2025, Serikali imetenga kiasi cha sh. bilioni 787 kwa ajili ya kukopesha wanafunzi 250,000 wakiwemo 80,000 wa shahada ya kwanza ambao ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB Sabasaba kuhudumia Waoneshaji 3,000, Wananchi 800,000 kwa siku 16

 Kaimu Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa Benki ya NMB  Ferdinard Mpona (kushoto) akitoa huduma kwa baadhi ya wateja waliofikia kwenye tawi dogo la NMB lililopo kwenye maonyesho ya 48 ya Biashara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA APIMONDIA APONGEZA UZURI WA HIFADHI YA NGORONGORO; ASEMA NI UZOEFU...

Na Mwandishi wa NCAARais wa Shirikisho la wafugaji Nyuki Duniani (Apimondia), Dkt. Jeff Petiz, ametembelea eneo la hifadhi ya Ngorongoro na kutoa pongezi kwa uongozi wa NCAA kwa jitihada za utunzaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSOGA MARATHON YAFUNGUA MILANGO KWA WANARIADHA

NA TULLO CHAMBO, RTMSIMU wa Kwanza wa Mbio za Msoga Half Marathon 2024, umefanyika kwa mafanikio makubwa huku Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akifungua milango kwa wanariadha wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF IKO KITAANI KWAKO MBAGALA WEMEITIKA

Kaimu Meneja wa NHIF Ofisi ya Mkoa wa Temeke, Canon Luvinga akiwahamasisha Wananchi kujiunga na bima ya afya kwenye wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya NHIF Kitaani Mwako katika viwanja vya Mbagala Zakhem...

View Article

SERIKALI KUWANUSURU KIUCHUMI WARAIBU WA DAWA ZA KULEVYA - MAJALIWA

*Azindua Sera ya Taifa ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za KulevyaWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Wizara za Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu zikae...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Samia achangia Milioni 50 Ujenzi wa Madarasa

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa mashindano ya kusoma Kurani,Ismail Khalid (kushoto),yaliyofanyika wakati wa Hafla ya Kumbukumbu ya...

View Article

WAJASIRILIAMALI WAIOMBA SERIKALI KUWAPATIA ELIMU YA UJASIRIAMALI

NA: JOSEPHINE MAJULA, WF, TABORA Wajasiriamali wa Kata ya Tutuo, Wilaya ya Sikonge Mkoa wa Tabora, wameiomba Serikali kuwapatia elimu ya ujasiriamali ili waweze kuzalisha bidhaa zenye ubora, ambazo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Dkt. Samia ampokea rasmi Msigwa wa CHADEMA

 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akipeana mkono na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ambaye amejiondoa kutoka chama hicho na kujiunga rasmi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOTAFUNA FEDHA ZA MIKOPO YA HALMASHAURI SINGIDA KUSAKWA

Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego akizungumza kwenye kikao Maalum cha kujadili hoja za CAG katika Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Singida. Na Mwandishi Wetu Serikali ya mkoa wa Singida...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IMEBAKI STORI KWA WANA SIMBA

Na Mwandishi Wetu Clatous Chota Chama amekuwa kwenye rekodi ya wachezaji waliocheza klabu mbili kubwa nchini za Simba na Yanga baada ya uhamisho wake kukamilika rasmi hii leo kuelekea Jangwani.Chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTT AMIS yatoa elimu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa Wananchi waliofika katika...

Baadhi ya wananchi wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Mkuu Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTTAMIS, Martha Mashiku kuhusu uwekezaji unaofanywa na taasisi hiyo kupitia mifuko yake ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nargis aifagili chai ya Tanzania

            Na Mwandishi Wetu         MISS Tanzania namba tatu mwaka  2003, Nargis Mohamed ametembelea Banda la Chai kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF-2024) na amevutiwa na...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>