$ 0 0 Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT-Wazalendo, Isihaka Mchinjika, akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa uchambuzi wa Bajeti Kuu ya Serikali, iliyowasilishwa bungeni hivi karibu na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba.