Rais Samia aridhia ombi la kutenga Siku Maalum ya Mashirika ya Umma kutoa Gawio
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) akipokea Gawio la Sh. Bilioni 57.3 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya NMB, Dkt. Edwin Mhede (kushoto)...
View ArticleRais Samia apokea Gawio la Bil. 637, Msajili wa Hazina asema kiasi...
NA MWANDISHI WETUWAKATI Serikali ikipokea kiasi cha Sh. Bilioni 637.122, kama gawio na michango kutoka Mashirika na Taasisi za Umma, Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, amesisitiza kuwa kiasi hicho sio...
View ArticleWENYE ULEMAVU, WANAWAKE, VIJANA WAHAMASISHWA KUJIANDIKISHA KUWA WAPIGA KURA
Mjumbe wa Tume, Jaji (Rufaa) Mhe. Mwanaisha Kwariko akizungumza wakati akifungua mkutano wa Tume na wawakilishi wa watu wenye ulemavu, uliofanyika leo tarehe 11 Juni, 2024 jijini Dar es Salaam ikiwa ni...
View ArticleTCB BENKI IMETUNUKIWA KWA MAGEUZI MAKUBWA YALIYOSHUHUDIWA KATIKA TAARIFA YAKE...
DAR ES SALAAM TCB Benki imetunukiwa tuzo kwa kuwa moja ya taasisi zilizofanya mageuzi makubwa ya kiutendaji na kiuendeshaji kama ilivyoonekana katika taarifa yake ya fedha ya robo ya kwanza ya mwaka...
View ArticleWakulima Chunya waomba kujengewa maghala ya nafaka
Na Mwandishi Wetu, MbeyaWAKULIMA wa mazao ya nafaka wilayani Chunya mkoani wa Mbeya wameiomba serikali kuwajengea maghala ya kuhifadhia mazao ili kuepuka uuzaji holela wa mazao yao kwa wachuuzi kwa...
View ArticleMAGEUZI YA MASHIRIKA YA UMMA NI CHACHU YA MAENDELEO
Na Mwandishi Wetu Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt Samia Suluhu Hassan akipokea gawio kutoka mashirika na taasisi za umma na kampuni ambazo Serikali ina Hisa chache, Msajili wa Hazina Nehemiah...
View ArticleUbadhirifu wa kutisha Msikitini
Na Mwandishi Wetu, Mwanza WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini nchini (RITA), imebaini ubadhirifu mkubwa wa kiasi cha shilingi bilioni moja za Kitanzania katika Msikiti wa Ijumaa uliopo Jijini Mwanza...
View ArticleKilimo tishio kwa watoto
Na Selemani MsuyaWAKATI Juni 12, 2024 dunia ikitarajia kuadhimisha siku ya utumikishwaji wa mtoto duninia, takwimu zinaonesha zaidi ya watoto milioni 5 wanatumikishwa nchini Tanzania, huku watoto...
View ArticleTRENI YA UMEME KUANZA SAFARI YAKE KESHO
Na Magrethy Katengu, Dar es SalaamShirika la Reli Tanzania (TRC) limezindua kampeni ya uelewa kuhusu kuanza kwa huduma za usafiri wa Treni katika kiwango Cha kimataifa (SGR) zitakazoanza mwisho wa...
View ArticleVYOMBO VYA HABARI NGUZO MUHIMU UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tume na wahariri wa vyombo vya Habari kuhusu maandalizi ya Uboreshaji wa...
View ArticleMASHINE ZA KISASA ZA KUHESABIA FEDHA KUTUA NCHINI
Mkurugenzi wa Kampuni ya Avowal (T) Ltd, Mbogolo Kushaha (kulia), akipokea hati ya usambazaji na uuzaji wa mashine za kisasa za kuhesabia fedha kwenye mabenki na taasisi za kifedha na vifaa vyake toka...
View ArticleSIRI YA GAWIO KUBWA TFS HII HAPA
Na Selemani Msuya KAMISHNA wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma ya Misitu Tanzania (TFS), Profesa Dos Santos Silayo ametoa siri iliyosababisha washike nafasi ya tatu kwa taasisi za serikali zilizotoa gawio...
View ArticleACT WAZALENDO : TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA INAVUNJA...
Na Magrethy Katengu, Dar es SalaamCHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema kitendo cha Wizara Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kinavunja...
View ArticleNMB Yatoa Gawio la Tsh Bilioni 57.4 kwa Serikali
Benki ya NMB imetoa gawio la Tsh. Bilioni 57.4 kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ni kiashiria cha azma ya kuleta tija na faida kubwa kwa wawekezaji wao wote, ikiwemo Serikali yenye...
View ArticleINEC yawataka wanasiasa kusoma sheria ya uchaguzi
Na Selemani Msuya WAKATI vyama vya siasa vikiitaka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), isimamie uchaguzi wa serikali za mitaa, tume hiyo imevishauri vyama hivyo vikasome Kifungu cha 10 (1) (C) cha...
View ArticleNaibu Waziri Mkuu Dk. Biteko aipongeza EWURA
Na Jasmine Shamwepu, DodomaNAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezindua taarifa za utendaji katika Sekta ndogo ya Umeme, Gesi Asilia na Mafuta kwa mwaka 2022/2023 huku...
View ArticleWAZIRI SILAA ATOA SIKU 90 WATHAMINI KUWA NA MIHURI YA KIDIJITI
Na Jasmine Shamwepu, DodomaWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ametoa siku 90 kwa Bodi ya Usajili ya Wathamini (VRB) kuzindua mihuri ya Wathamini ya kisasa yenye alama za...
View ArticleDC MAGOTI ASHIRIKI MAZISHI YA MWENYEKITI WA BAMITA
NA VICTOR MASANGU, KISARAWE Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe Mh. Petro Magoti leo Jumamosi ameungana na mamia ya wananchi wake wa kutoka sehemu mbali mbali za Kisarawe kwa ajili ya kushiriki mazishi...
View ArticleMFAHAMU MSEMAJI MPYA WA SERIKALI THOBIAS MAKOBA
Thobias Makoba, ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali. Bw. Makoba anachukua nafasi ya Mobhare Matinyi ambaye amepangiwa majukumu mengine. Kabla ya Uteuzi...
View ArticleAkiba Benki yatoa elimu ya fedha kwa wadau
Na Mwandishi WetuBenki ya, Akiba imesema itaendelea kuunga mkono serikali kwa kutoa elimu ya fedha huku ikiboresha huduma zake nchi nzima ili kusaidia kuwafikia wananchi wengi zaidi na kuchochea kukua...
View Article