Migodi ya madini 21, 686 yakaguliwa
Migodi ya Madini 21,686 yakaguliwa katika kipindi cha Julai, 2023 hadi Aprili 2024, Kati ya migodi hiyo, migodi mikubwa ni nane, migodi ya kati 56 na migodi midogo 21,622. Hayo yamesemwa na Naibu...
View ArticleWASANII WATOA SHUKRANI KWA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KUWAJUMUISHA KWENYE...
Na Magrethy Katengu, Dar es SalaamWASANII wa Tasnia ya Filamu Tanzania (BONGO MOVIE) wanamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kauli yake ya kuanza kuwajumuisha...
View ArticleAmend, Uswiss wakabiliana na ajali kwa wanafunzi
Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanga (DAS), Dalmia Mikaya (kushoto)wakifunua kitambaa baada ya kufanyika kwa uzinduzi wa mradi wa uwekezaji wa miundombinu ya usalama barabarani kwa shule za Msingi Azimio...
View ArticleMAGU KINARA MASHINDANO YA UMITASHUMTA MKOA WA MWANZA, YABEBA VIKOMBE 13
Mkuu wa Wilaya ya Magu , akipokea zawadi ya kombe la mshindi wa jumla mashindano ya ya umoja wa Michezo na taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Mshingi Tanzania (UMITAMSHUMTA) kwa Halmashauri zote za Mkoa...
View ArticleTANZANIA, DENMARK KUBADILISHANA UTALAAMU KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaabani akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, katika kikao kati ya Tanzania na Waziri wa Kodi wa...
View ArticlePINDA AWAFARIJI NDUGU WA WALIOPOTEZA MAISHA KWA AJALI YA MTUMBWI KAVUU
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi Mhe. Geophrey Pinda akipata maelezo katika eneo ilipotokea ajali ya Mtumbwi...
View ArticleWAKURUGENZI MADAI YA WALIMU SIO SIRI YAWEKENI WAZI-Dkt. Msonde
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde akiwa na wanafunzi wa shule ya Sekondari Kashozi alipowasili shuleni hapo kwa ajili ya kufanya kikao kazi na Maafisa Elimu Kata,...
View ArticleIDADI YA WATALII WA KIMATAIFA NA MAPATO IMEONGEZEKA, MHE. KAIRUKI
Na Jasmine Shamwepu, DodomaWaziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki ameeleza kuwa idadi ya watalii wa kimataifa wanaotembelea nchi ya Tanzania imeongezeka kwa asilimia 96 kutoka watalii 922,692...
View ArticleSWICA YAIINGIZIA SERIKALI DOLA ZA MAREKANI 2,773,000
Na Jasmine Shamwepu, DodomaWaziri wa Maliasili na Utalii Angellah Jasmin Kairuki amesema katika kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii, Wizara yake imefanikiwa kuanza utekelezaji wa Uwekezaji...
View ArticleBenki ya CRDB yatwaa tuzo ya Kampuni Bora Africa "The Africa Company of the...
Mkurugenzi wa Eastern Star Group, Deogratius Kilawe (katikati), akimkabidhi Tuzo ya Kampuni Bora 2024 "Africa Company of the Year Awards 2024" Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Benki ya CRDB, Muhumuliza...
View ArticleFEI TOTO AWATAHADHARISHA WANACHI FAINALI CRDB FC
Na John Richard Marwa Kiungo nyota wa Azam FC Feisal Salum Fei Toto amesema licha ya heshima kubwa wanayowapatia wapinzani wao Yanga SC kuelekea mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho CRDB Federation...
View ArticleBABA YAKE MZAZI NA MBUNGE KOKA AZIKWA NA MAELFU YA WANANCHI KILIMANJARO
NA VICTOR MASANGU, KILIMANJAROMaelfu ya wananchi,viongozi, wa serikali,wakiwemo mawaziri wakuu wa Wilaya wakuu wa Mikoa,Wabunge viongozi wa dini,madiwani na viongozi wa mashirika wamejitokeza kwa...
View ArticleRAIS SAMIA ATUMA POLE KWA MSIBA WA BABA YAKE MZAZI WA MBUNGE KOKA
NA VICTOR MASANGU, KILIMANJARO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Mhe.Silvestry Koka kufuatia kifo cha Baba...
View ArticleWASANII WA TANZANIA NA KOREA KUCHEZA FILAMU KWA PAMOJA
Sekta ya Filamu nchini Jamhuri ya Korea imeahidi kushirikiana na sekta ya filamu nchini Tanzania ili iweze kuzalisha filamu zenye viwango vya Kimataifa zitakazovutia watu wengi zaidi duniani. Ahadi...
View ArticleKAMPUNI YA SARUJI MBEYA YAGAWA GAWIO KWA WANAHISA WAKE
Mwandishi WetuBaada ya miaka 10 Kampuni ya Saruji ya Mbeya inayojulikana na chapa yake ya Tembo ambayo pia ni kampuni tanzu ya Amsons,imetoa gawio la Sh 3 bilioni kwa Serikali. Mafanikio haya ni...
View ArticleCRDB, SUGECO yawawezesha vijana wa Kitanzania kwenda Denmark kujifunza...
Mkuu wa Uendeshaji wa Biashara Changa Taasisi ya CRDB Bank Foundation, Fadhili Bushagama (kulia), akimkabidhi fedha Robinson Pallangyo muda mfupi kabla ya kupanda ndege kuelekea Denmark kwa ajili ya...
View ArticleYANGA HII TEMA MATE CHINI, YAISHANGAZA AZAM FC
Na John Richard Marwa Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania klabu ya Young Africans wamefanikiwa kutetea ubingwa wao wa Kombe la Shirikisho CRDB Federation Cup baada ya kufanikiwa kapata mikwaju ya penati...
View ArticleWAZIRI MKUU AZINDUA JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 02, 2024 ameweka jiwe la msingi la jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Nyangh’hwale ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 85.Akizungumza baada ya uwekaji wa...
View ArticleCRDB Bank Foundation, SUGECO yawaaga wahitimu wanaoenda mafunzoni Sweden
Mkuu wa Uendeshaji wa Biashara Changa Taasisi ya CRDB Bank Foundation, Fadhili Bushagama (kulia) na Meneja Mikopo Benki ya CRDB, Baraka Kiyalo (kushoto), wakikabidhi fedha kwa vijana wanaokwenda nchini...
View Article