Mansoor Industries Ltd yatwaa tuzo ya Kampuni Bora Afrika 2024
Mkurugenzi wa Kampuni ya Eastern Star Group, Deogratius Kilawe (wa pili kushoto), akimkabidhi tuzo Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mansoor Industries Ltd, Altaf Hiran, wakati wa tuzo za Kampuni Bora...
View ArticleRC SINGIDA – TUTAKWAMUA UJENZI WA MAJENGO YA HOSPITALI YA RUFAA YA MANDEWA
Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego ameahidi kuwa atashughulikia haraka mkwamo wa ujenzi wa majengo Matatu katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Singida ya Mandewa likiwemo jengo la ghorofa Tatu...
View ArticleDK. BITEKO AIPONGEZA TMA KWA KUTOA HUDUMA BORA ZA UTABIRI WA HALI YA HEWA
Na Mwandishi Wetu, DodomaNAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko, ameipongeza Mamalaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kwa kuendelea kutoa huduma bora za hali ya hewa nchini. Amesema hayo...
View ArticleMAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA JIMBO LA KWAHANI WAPIGWA MSASA, WAHIMIZWA WELEDI
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Dkt.Zakia Mohamed Abubakar leo tarehe 04 Aprili, 2024 wakati akifungua mafunzo kwa Makarani waongozaji Wapiga Kura vituoni yanayofanyika katika Skuli ya...
View ArticleMazingira Plus, TCCI wapanda miti kuelekea siku ya Mazingira Duniani
Afisa Misitu Wilaya ya Temeke Neema Daudi (katikati), akipanda mti katika Chuo cha Maafisa katika Kanisa la Jeshi la Wokovu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira Plus, Abdallah Mikulu...
View ArticleAccess Microfinance Bank Tanzania Limited yabadili chapa ya jina sasa...
Na Hussein Ndubikile, Dar es SalaamBenki ya Access Microfinance Tanzania Limited imesema kuanzia Juni 4 mwaka huu imekuja na mabadiliko chanya ya chapa ya jina na kwamba kwa sasa itatumbulika kwa jina...
View ArticleWAFANYABIASHARA KARIAKOO WAIOMBA SERIKALI TOZO ZOTE ZA MIZIGO KUISHIA...
Na Magrethy Katengu, Dar es SalaamJUMUIYA ya Wafanyabiashara Kariakoo wamemuomba Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kutoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kushughulikia tozo zote mizigo ikiwa...
View ArticleAKIBA COMMERCIAL BANK PLC YAAZIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUZINDUA...
Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Alhaji Jabir Shakimweri ameipongeza Benki ya Akiba kwa juhudi na jitihada zake katika kuboresha na kuhifadhi mazingira na kusistiza taasisi nyingine kuiga...
View ArticleNCHIMBI AWASILI TANGA, KUHITIMISHA MIKOA 5
Matukio mbalimbali katika picha wakati Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi alipowasili na kupokelewa Mkoa wa Tanga, kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku...
View ArticleINEC YAVIKABIDHI VYAMA VYA SIASA ORODHA YA VITUO VYA UBORESHAJI WAPIGA KURA
Na Mwandishi Wetu,Wapiga kura 11,936 wanatarajiwa kupiga kura kesho tarehe 09 Juni, 2024 kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kwahani lililopo Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar....
View ArticleSIMBA WANAJIKUNA UPELE KUMBE WANA KIDONDA
Na John Richard Marwa Yawezekana muziki wa kileo hasa wa kizazi kipya haudumu sana kwenye Ngoma za masikio ya wasikilizaji ama wandewa wa muziki wenyewe. Sio utunzi wala ala zinazopigwa kwenye huo...
View ArticleDkt. Biteko awataka Wadau wa Uvuvi kuwapa kipaumbele Wavuvi Wadogo
Na Hussein Ndubikile, Dar es SalaamNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amewataka Wadau wa Sekta ya Uvuvi nchini kuhakikisha wanawapa kipaumbele wavuvi wadogo kwani ndio wanaochangia...
View ArticleSIMBA QUEENS WAREJESHA HESHIMA YAO LIGI KUU
Kikosi cha Simba Queens kilitwaa ubingwa wa makala ya nne ya Ligi Kuu Soka ya Wanawake mara baada ya kuwafunga Alliance Girls kwa mabao matatu kwa mtungi.Simba Queens wametwaa ubingwa walioupoteza...
View ArticleTABU IKO PALE PALE, MIGUEL ANGEL GAMONDI YUPO TENA JANGWANI
Na John Richard Marwa Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Young Africans Miguel Angel Gamondi ameongeza kandarasi ya mwaka mmoja kusalia katika klabu hiyo msimu ujao wa mashindano 2024/2025.Hayo yamejiri...
View ArticleSerikali kuchunguza Mifumo Viwanja vya Ndege
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Serikali imeanza Uchunguzi Maalumu wa kubaini mapungufu mbalimbali katika Viwanja vyote vya Ndege nchini ili kubaini changamoto hizo na kuweza kuzifanyia kazi ikiwemo...
View ArticleACT Wazalendo wafanya mkutano wa hadhara Unguja
Mjumbe wa Kamati Kuu Chama cha ACT Wazalendo Mansour Yussuf Himid amesema kuna umuhimu mkubwa kuendelea harakati za kudai mabadiliko ya uongozi Zanzibar kwani chama kinachoendelea kutawala sasa hakina...
View ArticleBVR KITS 6,000 KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tume na Viongozi wa Dini uliofanyika leo tarehe 10 Juni, 2024 mkoani Dar...
View ArticleVIONGOZI WA DINI WAIANGUKIA SERIKALI KUFUNGIA MTANDAO WA KIJAMII X USIO NA...
Na Magrethy Katengu, Dar es SalaamViongozi wa Dini nchini wamezitaka Mamlaka za serikali kuufungia mtandao wa Kijamii wa X ambao zamani ulijulikana kama Twitter Kwa kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya...
View ArticleWAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI
Na Chedaiwe Msuya, WF, KigomaWananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe moja ya vyanzo vya kujiongezea...
View ArticleWAKAZI WA KIGOMA WAASWA KUJIHADHARI NA MIKOPO KAUSHA DAMU
Na Chedaiwe Msuya, WF, KigomaMkuu wa Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, Kanal Anthony Mwakisu amewataka Wananchi kukopa kwenye taasisi za fedha zilizosajiliwa na Serikali na kutambulika kwa kuwa...
View Article