Mkuu wa Uendeshaji
wa Biashara Changa Taasisi ya CRDB Bank Foundation, Fadhili Bushagama (kulia), akimkabidhi
fedha Robinson Pallangyo muda mfupi kabla ya kupanda ndege kuelekea Denmark kwa ajili ya kwenda kujifunza masuala ya Kilimo. Benki ya CRDB imewezesha vijana Danson Shabani na Robinson Pallangyo kwenda nchini Denmark kujifunza masuala ya kilimo. (Na Mpiga Picha Wetu).
↧
CRDB, SUGECO yawawezesha vijana wa Kitanzania kwenda Denmark kujifunza masuala ya Kilimo
↧