Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Benki ya CRDB yatwaa tuzo ya Kampuni Bora Africa "The Africa Company of the Year Awards 2024"

$
0
0


Mkurugenzi wa Eastern Star Group, Deogratius Kilawe (katikati), akimkabidhi Tuzo ya Kampuni Bora 2024 "Africa Company of the Year Awards 2024" Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Benki ya CRDB, Muhumuliza Buberwa (wa pili kushoto), katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Kimara, Lucy Lukaiya, Meneja wa Biashara Changa Benki ya CRDB, Sharron Nsule na wapili kulia ni Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Mbezi Luis, John Makwisha. (Na Mpiga Picha Wetu).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>