Kibabage atua Twiga na Jangwani
Na John MarwaMlinzi wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Singida Fountain Gate FC Nickson Kibabage ametua mitaa ya Twiga na Jangwani kw kandarasa ya misimu mitatu.Kibabage ametambulishwa usiku mnene...
View ArticleNyie hamuogopi?! Alassane Diao atua na mabao Chamazi
Na John Marwa Shambuliaji la kutosha linalo pachika mabao ya kila aina anetambulishwa kujiunga na Azam FC ikiwa ni muendelezo wa kuimarisha kikosi kuelekea msimu ujao wa 2023/24Azam imemtanbulisha Diao...
View Article*TBS waleta majibu bati zilizokataliwa na Madiwani*
Na Mashaka Mhando TangaCHAMA Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tanga, kimemaliza mgogoro wa madiwani wa halmashauri ya mji wa Handeni, kukataa bati zilizoletwa kwa ajili ya kuezeka katika shule zao wakidai...
View ArticleTigo waanza kukopesha simu janja za Samsung
Na Tatu Mohamed, Dar es SalaamMENEJA wa Vifaa vya Intaneti kutoka Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo, Imelda Edward, amesema wameamua kuanza kuwakopesha watanzania simu janja aina ya Samsung baada ya...
View ArticleRais Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Malawi Rais wa Malawi Dk....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakikagua Timu za Nyasa Big Bullets pamoja na...
View ArticleHospitali ya Taifa Muhimbili yapongezwa
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga & Mloganzila kwa huduma nzuri wanazotoa kwa jamii na...
View ArticleAPRM ; SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAJITAHIDI KUTATUA KERO ZA WANANCHI
Na Magrethy KatenguKatibu Mtendaji APRM Tanzania Mpango wa hiari wa nchi za umoja wa Afrika kujipima kwa vigezo vya Utawala bora Lamau Mpolo amesema Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia...
View ArticleDKT MPANGO AIPONGEZA TANZANIA COMMERCIAL BANK
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Muyama mara baada ya gafla ya kupokea vyumba vitatu vya...
View ArticleSERIKALI INATAKA WANANCHI WAPATE HUDUMA HUKO WALIKO - MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inataka kuona wananchi wakipatiwa huduma za afya huko waliko bila kulazimika kuzifuata mbali. “Tumejenga vituo vya afya, hospitali za...
View ArticleRC TALACK AMEZINDUA MAONYESHO YA MADINI NA UWEKEZAJI LINDI
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack amezindua rasmi Maonesho ya Madini na Uwekezaji.Waziri Gao ni mmoja ya wachimbaji wa madini katika wilaya ya Nachingwea mkoani LindiNa Fredy Mgunda,Iringa.Mkuu wa...
View ArticleWatakwimu wa Skuli za Msingi wapata mafunzo ya kuwajengea uwezo
Mkurugenzi Idara ya Elimu Mbadala na Watu Wazima Zanzibar,Bi.Mashavu Ahmada Fakih,akizungumza wakati akifungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo Walimu na Watakwimu wa Skuli za Msingi Wilaya za Mjini,Kati...
View ArticleTUME YA KUREKEBISHA SHERIA KUANDAA MASHINDANO YA UANDISHI WA INSHA KWA...
Katibu Mtendaji wa Tume ya kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) , Bw. Griffin Mwakapeje akizungumza wakati wa Kikao cha Menejimenti ya Taasisi hiyo kilichofanyika leo Julai 6, 2023 katika ukumbi wa...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA ATEMBELEA BANDA LA UTT KWENYE MAONYESHO YA...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Jenifa Omolo (kushoto), akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS kwenye Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba)...
View ArticleCHUO KIKUU MZUMBE: WATANZANIA NJOONI SABASABA
Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Williamu Mwegoha (kushoto) akipata maelezo kuhusu kozi mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho alipotembelea banda hilo katika Maonyesho ya 47 ya Biashara ya...
View ArticlePromosheni ya NMB Bonge la Mpango, washindi wakabidhiwa zawadi zao
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Temeke, Kidawa Masoud (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya Runinga mfanyabiashara wa Kariakoo, Jackson Mbilinyi, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa...
View ArticleMuarobaini wakudhibiti tembo vamizi waja
Na Mwandishi WetuWAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amezindua programu maalum ya ujenzi wa vituo maalum 16 kwa ajili ya kuthibiti wanyama waharibifu akiwemo tembo katika maeneo...
View ArticleShaka: Rais Samia kioo cha uongozi Afrika
*Asema anayoyafanya anatafsiri kwa vitendo njia za wapigania ukombozi Afrika.*Ataka wananchi, viongozi wa majukwaa mbalimbali na mashirika yamuunge mkonoNa Mwandishi Wetu, Kilosa MorogoroMJUMBE wa...
View ArticleTCRA yasisitiza usalama huduma za mawasiliano
Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesisitiza umuhimu wa tahadhari na uangalifu katika matumizi ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi. Msisitizo huo umetolewa na Mkuu wa...
View ArticleTIRA yajipanga kufikia asilimia 50 ya Watanzania
Mwananchi akizungumza na ofisa wa TIRA kwenye banda la taasisi hiyo ndani ya viwanja vya Sabasaba.Na Selemani MsuyaMAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), imejipanga kutumia miongozo waliotoa kwa...
View ArticleONYANGO ATUA SINGIDA FOUNTAIN GATE FC
Na John MarwaKlabu ya Singida Fountain Gate imekamilisha usajili wa beki Joash Onyango raia wa Kenya kutoka klabu ya Simba SC.Onyango mwenye umri wa miaka 30 amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia...
View Article