SIMBA SC YAPANDA UBORA AFRIKA
Na Mwandishi Wetu Klabu ya Simba imepanda viwango vya ubora wa CAF kutoka nafasi ya 9 hadi nafasi ya 7 kwa mujibu wa viwango vilivyotangazwa leo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF)Hii...
View ArticleTanzania na Malawi kushirkiana kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakishuhudia utiaji Saini Mkataba wa Makubaliano (MoU)...
View ArticleDC MATINYI APONGEZA JUHUDI ZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWAWEZESHA VIJANA
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mobhare Matinyi (kulia), akizungumza na mjasiriamali kwenye banda mojawapo katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Julai 7, 2023 yanayoendelea kwenye viwanja...
View ArticleNMB kuanza kusajili na kutoa kadi za uachama wa Yanga Jumatatu
Benki ya NMB kupitia matawi yake yote nchi nzima kuanza rasmi Jumatatu tarahe 10 Julai, 2023, kusajili na kutoa kadi za uanachama wa Yanga.✅Mwanachama wa Yanga akifungua akaunti atalipia Shilingi...
View ArticleSIKU YA OLIMPIKI YAFANA DAR
Na Tullo Chambo, RTKAMATI ya Olimpiki Tanzania (TOC), imeadhimisha Siku ya Olimpiki Duniani 'Olimpiki Day', Julai 8, kwa tamasha maalumu lililofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.Siku...
View ArticleEPZA YAONESHA FURSA KATIKA SEKTA YA KILIMO KWA KUYAONGEZEA THAMANI MAZAO
Na Magrethy KatenguMamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje EPZA imekuwa Mstari wa mbele kuwaonesha fursa Wakulima kwa kuongeza mazao yao katika mnyororo wa thamani kupitia viwanda...
View ArticleSERIKALI YA ZANZIBARI KUINUA WANANCHI WAKE KUPITIA UCHUMI WA BLUU .
Na Magrethy KatenguSerikali ya Zanzibar iliyo chini ya Rais Ally Hassan Mwinyi imekuwa ikiongeza jitihada za kusaidia uchumi wa bluu wa Bahari usaidie wananchi wake huausani wavuvi kwa kuwatengea...
View ArticleMtambo wa bilioni 13/= kuchoronga visima vya Jotoardhi
Na Selemani MsuyaSERIKALI imenunua mtambo wa kisasa uligharimu zaidi shilingi bilioni 13 kwa ajili yakuchoronga visima vya uzalishaji wa nishati jadidifu ya Jotoardhi ambayo ni safi na salama kwa...
View ArticleCCM Kilombero yapongeza urejeshaji ushoroba za tembo
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, Mohamed Msuya akizungumza mbele ya wanachama wa chama hicho.Vijana wakifyeka eneo ambalo linajengwa uzio wa Ushoroba Tembo Kilombero.Na Selemani...
View ArticleHelkopta yatumika kufukuza tembo
Na Ashrack Miraji, Same SERIKALI imetumia helkopta kutafuta makundi ya tembo waharibufu waliozagaa katika vijiji 25 vya wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro na kuwavisha vifaa maalum vya mawasiliano...
View Article'Mtu yeyote anaweza kulima Mkonge'
Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), Esther Mbusi, akizungumza na wateja waliofika katika Banda la TSB lililopo katika Maonesho ya Kimataifa ya 47 Biashara Dar es Salaam...
View ArticleMuharami Mchume kukabidhiwa tuzo ya Pierre de Coubetin Desemba
Na Mwandishi WetuMWANAMICHEZO mahiri hapa nchini, Muharami Mchume Desemba mwaka huu anatarajiwa kukabidhiwa tuzo ya mwanzilishi wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC), Pierre de Coubetin...
View ArticleSERIKALI ITAENDELEA KULINDA MASLAHI YA VIJANA - MHE. KATAMBI
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi akikagua timu katika bonanza la michezo la vijana wa mradi wa USAID KIJANA NAHODHA unaotekelezwa na...
View ArticleVIONGOZI, WATENDAJI WILAYA YA SINGIDA WATAKIWA KUTUMIA MATOKEO YA SENSA...
Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskas Muragili akihutubia wakati akifungua mafunzo ya usambazaji na matumizi ya matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 kwa viongozi hao yaliyofanyika...
View ArticleWAZIRI MKUU AMTAKA DMO MTWARA ASIMAMIE UJENZI KITUO CHA AFYA MKUNWA
*Akerwa kukuta vifaa vimejaa ndani, hakuna uangalizi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtaka Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Dkt. Matayo Malaika ahakikishe anasimamia ujenzi wa kituo cha afya Mkunwa ili...
View ArticleTUMIENI MRADI WA UBORESHAJI USALAMA WA MILKI KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI –...
Waziri wa Ardhi wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza wakati wa mkutano wa Wadau kujadili Rasimu ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya wilaya ya Longido tarehe 8 Julai...
View ArticleSMZ kufanya mageuzi makubwa kwenye Vyama vya Ushirika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Vyama vya ushirika vina jukumu kubwa la kuwahamasisha, kuwaunganisha na kuwarahisishia wananchi ili waweze...
View ArticleMABONDIA CHIPUKIZI UBUNGO NI ZAIDI YA TEMEKE NA KINONDONI
Mabondia Chipukizi Wilaya Ya Ubungo Waonesha Umwamba Wa Mchezo Wa Masumbwi Kuwania Nafasi Ya Kucheza Pambano La PayBack Night kati Ya Dulla Mbabe Dhidi Ya Eric Katompa Julai 15,2023 Dar es salaam....
View ArticleFONDOH AGAWANYA 'BAHARI' AKITUA SIMBA SC
Na John Richard Marwa HATIMAYE yule aliyetajwa kuigawanya bahari ya Hindi ametua kwa nyekundu na nyeupe. Mlinzi wa kimataifa wa Cameroon Che Fondoh Malone ametambulishwa Msimbazi.Kwa mujibu wa Taarifa...
View ArticleWANANCHI WATAKIWA KUENDELEA KUIAMINI SERIKALI
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akisaini kitabu cha wageni katika banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, yanayoendelea katika...
View Article