Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CRDB yawakaribisha wananchi kupata huduma katika Maonesho ya Sabasaba

Afisa wa Benki ya CRDB kutoka Tawi la Temeke, Edna Ecomay, akiwa tayari kuwahudumia wateja katika Tawi la benki hiyo lililopo katika viwanja vya Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba).Afisa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ROBERT MUNISI APITA KWA KISHINDO UCHAGUZI KIBAFA

Na Khadija Kalili, PWANI ROBERT Munisi  kwa  mara ingine  tena ameibuka na ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti  wa Chama Cha Soka Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani  katika uchaguzi  uliofanyika leo Julai 2...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Mpango mgeni rasmi tamasha la washairi

 Na Mwandishi WetuMAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufungaji wa tamasha la ushairi lililoandaliwa na Taasisi ya Usanifu wa Kiswahili na Ushairi Tanzania (UKUTA) kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TSB yawafunda WAWATA kuhusu kilimo, fursa na masoko ya mkonge

 Na Mwandishi Wetu, TangaBODI ya Mkonge Tanzania (TSB), imetoa elimu ya kilimo cha zao la Mkonge, masoko na fursa zitokanazo na zao hilo kwa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA), katika Semina ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WA SENEGAL WATUA AZAM KUONGEZA NGUVU

 Na John Richard MarwaKlabu ya Azam imemtambulisha makocha wawili raia wa Senegal ikiwa ni kuendelea kulijenga benchi la ufundi la Kocha Mkuu Youssouph Dabo.Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Azam FC...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Mpango afungua Tawi la 229 la NMB Buhigwe

NA MWANDISHI WETU, KIGOMAMTANDAO wa Matawi ya Benki ya NMB nchini umezidi kutanuka, baada ya Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango kuzindua Tawi la 229 la NMB Buhigwe, alilosema linaenda...

View Article

WAZIRI MKUU AFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA MADAS

 *Awataka wazingatie miiko na maadili ya viongozi wa umma,  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Makatibu Tawala wa Wilaya zote Tanzania Bara watekeleze majukumu yao kwa kuzingatia utawala bora, miiko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kujenga Bwawa la Yongoma

 Na Mwandishi Wetu, SameSERIKALI imesema kupitia Bajeti ya mwaka 2023/2024, imepanga kufanya upembuzi yakinifu, usanifu wa kina kwa ajili ujenzi wa Bwawa la Yongoma lililopo wilayani Same mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kuja na mpango wa kuongoa shoroba

Na Selemani MsuyaKAMATI ya Kitaifa ya Kuongoa Shoroba (NWCRC) imesema Serikali ipo katika mchakato wa kuandaa mpango makakati wa kuongoa shoroba 61 zilizopo, huku kipaumbele kikiwa ni kuanza na shoroba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampuni 5000 zashiriki sabasaba

Na Selemani MsuyaKAMPUNI 5666 za ndani na nje ya nchi zimeshiriki kwenye Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba yanayofanyika katika Viwanja vya Julius...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati atembelea Banda la TANESCO katika Maonesho ya...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba ametembelea Banda la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), mara baada ya kushiriki katika mdahalo ulioandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi wajitokeza Banda kwenye Maonesho ya Sabasaba

 Wananchi wakipata taarifa za huduma zinazotolewa na Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ikiwemo uhakiki wa Anwani za Makazi katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ONANA KAMA MLIVYOSIKIA

Na John MarwaKlabu ya Simba imemtanbulisha kiungo mshambuliaji rai wa Cameroon Willy Essomba Onana kuwa sehemu ya kikosi chao kuanzia msimu ujao.Onana amefungua dirisha la usajili kwa wekundu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Promosheni ya ‘Bonge la Mpango’ ya Benki ya NMB yafikitia tamati, Wateja...

Mkuu wa Idara ya Mtandao wa Matawi wa Benki ya NMB, Donatus Richard (katikata),  akionesha sehemua ya zawadi zitakazotolewa kwa washindi wa Droo ya mwisho ya Bonge la Mpango – Moto Uleule iliyofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mradi wa LNG kuzingatia maeneo mitano muhimu

Mkurugenzi Mkuu wa PURA, Mhandisi Charles Sangweni akiangalia kifaa ambacho kinaonesha namna Mradi wa LNG utakavyokuwa.Mkuu wa Kitengo cha Ushirikishwaji wa Wazawa na Uhusishwaji wa Wadau wa PURA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELIMISHENI WANAWAKE JUU YA FURSA ZA MIKOPO YA HALMASHAURI; MHE. MASANJA

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary  Masanja amewataka wana Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoani Mwanza kuelimisha wanawake na vijana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANACCM WATAKIWA KUJITOKEZA KUMLAKI MWENYEKITI UWT TAIFA MARY CHATANDA...

NA STEPHANO MANGO, SONGEA MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda anatarajia kufanya ziara ya kikazi Julai 7 mwaka huu katika kata za Halmashauri ya Wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa Wilaya Handeni aagiza Bati zilizonunuliwa kuchukuliwa sampuli...

 Na Mwandishi Wetu, HandeniMKUU wa Wilaya ya Handeni, wakili Albert Msando, ameagiza kuchukuliwa sampuli za bati kwa ajili ya kupimwa na Shirika la Viwango nchini (TBS) ili kuthibitisha ubora baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAADA WA KISHERIA WATOLEWA BURE BANDA L A CHUO KIKUU MZUMBE SABASABA

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Uhasibu Tanzania, Prof. William Pallangyo, akipata maelezo kutoka kwaMkurugenzi wa Kimataifaji na Baraza la Wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe, Dk. Lucy Massoi, kuhusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Samia Suluhu Hassan Atembelea Bunge la Malawi, aweka Shada la Maua...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Bunge la Malawi zilizopo Jijini Lilongwe tarehe 6 Julai, 2023. Kulia...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>