TANESCO YAZINDUA KITUO CHA UMEME KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Umeme cha Kisutu Jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ulaya na Biashara ya Nje, Dk...
View ArticleRAIS JAKAYA KIWKETE AWASILI ADDIS ABABA, ETHIOPIA, KUHUDHURIA MAADHIMISHO YA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na maafisa wa ubalozi pamoja na wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole jijini Addis...
View ArticleRais amtembelea Sheha Aliyetiwa Tindi kali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuangalia Sheha wa Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi Unguja,Mohamed Saidi Kidevu,(kulia) jinsi alivyoathirika na...
View ArticleMungu angemteua Nkamia kugawa Haki, Wandishi wangepata?
Na Bryceson Mathias NAJIULIZA; Kama Mungu angemteua Mbunge wa Jimbo la Kondoa Kusini Juma Nkamia (CCM) kugawa Baraka na Haki kwa Viumbe, Wandishi, Wahariri, na Klabu mbalimbali za waandishi wa habari...
View Article30 TWIGA STARS WAITWA KAMBINI
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya wanawake ya mpira wa miguu (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amewaita kambini wachezaji 30 ikiwa ni mwendelezo wa kuijenga na kuiimarisha timu hiyo.Twiga Stars itakuwa na...
View ArticleSHEREHE ZA SIKU YA AFRIKA KATIKA PICHA
Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) nchini Tanzania, Tonia Kandiero (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim ya Tanzania Anthony Grant (Kushoto) wakati wa hafla ya...
View ArticleFC BAYERN MUNICH MABINGWA WA ULAYA 2012/13
Nahodha wa FC Bayern Munich ya Ujerumani, Phillip Lahm akiwa ameshikilia taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya, walilolitwaa jana usiku baada ya kuichapa Borussia Dortmund pia ya Ujerumani kwa mabao 2-1...
View ArticleTAIFA STARS KWENDA ADDIS ABABA LEO
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuondoka leo (Mei 26 mwaka huu) usiku kwenda Addis Ababa, Ethiopia ambapo itaweka kambi na kucheza mechi moja ya kirafiki kabla ya kwenda...
View ArticleUSAHIRI WA SHINDANO LA BIBI BOMBA WAFANYIKA LEO KWENYE VIWANJA VYA LEADERS...
Mshiriki wa shindano la Bibi Bomba, Bi. Veronica Kayombo (katikati) akionesha umahiri wa kuimba nyimbo wakati wa mchujo wa kuwatafuta washiriki 10 watakaoingia katika nyumba kwa ajili ya shindano hilo...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA MARAIS WASTAAFU, AHUDHURIA KIKAIO CHA AMANI DRC CONGO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizingumza na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mzee Benjamin Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Afrika Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim kuhusiana...
View ArticleKAMPUNI YA ESG YAONESHA NIA YA KUWEKEZA TANZANIA
Na Mwandishi WetuKAMPUNI ya Uwekezaji ya Afrika Kusini (ESG), imetenga dola milioni 600 kwa ajili ya kuwekeza nchini katika ujenzi wa miradi mikubwa ya barabara, Bandari, reli pamoja na kuongeza...
View ArticleSoko la Mangula Makambako lawa maarufu kwa kuuza mboga za majani
Mama Joshua akipanga vizuri mboga za majani aina ya figili tayari kwa kusubiri wateja,leo katika soko la Mangula,Makambako. Picha na Adam H. Mzee
View ArticleWASANII WAKABIDHI PICHA YA KUCHORA YA RAIS JAKAYA KIKWETE
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam akipokea picha ya Rais Jakaya Kikwete iliyochorwa na wasanii wa Kikundi cha Manuari Dar es Salaam kwenye tamasha na mastaa chipukizi lililofanyika juzi Dar es...
View ArticleKINANA: CCM IMEDHAMIRIA KUZOA KATA ZOTE 25
NA BASHIR NKOROMO, IRINGACHAMA Cha Mapindizi (CCM) kimesema kimedhamiria kushinda kwenye kata zote 25 katika uchaguzi mdogo wa madiwani ambao kampeni zake zinaendelea katika kata mbalimbali...
View ArticleWASEMAVYO WANANCHI DHIDI YA KEJELI ZA NKAMIA KWA MCT, TEF NA WAANDISHI
Juma Nkamia, Mbunge wa Kondoa KusiniNa Byceson MathiasMei 25, mwaka huu, niliandika makala iliyobeba mahudhuhi ya swali kuwa; kama Mungu angemteua Mbunge wa Jimbo la Kondoa Kusini, Juma Nkamia (CCM)...
View ArticleKOROGWE VIJIJINI WAPEWA SEMINA YA KILIMO CHA ALIZETI
BAADHI ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wanawake (UWT) wilaya ya Korogwe Vijijini wakiwa kwenye semina ya ujasiriamali wa kilimo cha alizeti iliyoandaliwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
View ArticleBARCLAYS YATANGAZA WADHAMINI WA MATEMBEZI YA HISANI YA 'STEP AHEAD'
Meneja wa Mawasiliano na Huduma za Jamii wa Benki ya Barclays, Tunu Kavishe (kushoto) akizungumza na waandishi wakati wa kutangaza wadhamini wa Matembezi ya Hisani ya ‘Step Ahead’ ambayo yamelenga...
View ArticleKINANA: MNAOJIPITISHA URAIS KABLA YA WAKATI TUSILAUMIANE
NA BASHIIR NKOROMO, IRINGAKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amesisitiza kwamba Chama kitamwadhibu bila huruma mwanachama yeyote anayejipitisha-pitisha katika maeneo mbalimbali...
View ArticleMSIBA WA OFISA WA BUNGE, ERNEST ZULU
Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashilila (kushoto) akimpa pole Theresia Mlekani ambaye ni mke wa Ofisa Habari Mwandamizi wa Bunge, Ernest Zulu wakati alipokwenda kuwapa pole wafiwa nyumbani kwao Ubungo...
View Article