DIAMOND AJIPANGA KUMTAMBULISHA 'KIJANA WA LEO'
Na Elizabeth JohnNYOTA wa muziki wa bongo fleva nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ anatarajia kuachia kazi yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la ‘Kijana wa Leo’.Akizungumza jijini Dar es...
View ArticleYONDANI: NILIDHAMILIA KUPELEKA UBINGWA YANGA
Na Elizabeth JohnBEKI Kisiki wa Mabingwa wapya wa Soka Tanzania Bara, Yanga, Kelvin Yondan, amefunguka kuwa uamuzi wake wa kuihama Simba msimu uliopita, ulidhamilia kuhamisha ubingwa kuupeleka mitaa ya...
View ArticleVURUGU ZAENDELEA MTWARA, MMOJA ADHIBITISHWA KUFARIKI KATIKA VURUGU HIZO
Gari la wagonjwa la Manispaa ya Masasi likiteketea kwa moto baada ya kutokea vurugu leo. Barabara ikiwa imefungwa kwa kuweke magogo na mawe. Mkazi wa Mtwara akinawa uso baada ya kupigwa mabomu ya...
View ArticleCRDB YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA JWTZ KUPITIA AKAUNTI YAKE YA TANZANITE
Brigedia Jenerali wa JWTZ, Paul Peter Massao akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei Makao Makuu ya Jeshi hilo.MazungumzoLuteni Jenerali, Paul Mella akizungumza wakati wa...
View ArticleShule za Kata zajiendesha kwa Fedha za Walimu Wakuu
Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Rombo, Judethadeus Mboya.Mkuu Msaidizi wa Sekondari ya Nduweni, Venance MrambaNa Thehabari.com, RomboCHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), Wilaya ya Rombo kimesema shule...
View ArticleJAY DEE AFYATUA ALBAMU YA SITA
Na Elizabeth JohnMSANII nyota wa kike katika muziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ amesema yu katika hatua za mwisho za kukamilisha albamu yake ya sita.Akizungumza wakati...
View Article'Darasa’ ajipanga kulikabili soko la muziki kivingine
Na Elizabeth JohnMSANII nyota wa miondoko ya hip hop, Sharifu Thabiti ‘Darasa’ amepanga kuwa na utaratibu rasmi wa kuuza albamu yake ya kwanza ambayo iko katika hatua za mwisho kukamilika.Akizungumza...
View Article‘One Time’ ya Rich Mavoko kideoni
Na Elizabeth JohnBAADA ya kutamba vizuri na kibao chake cha ‘One Time’, Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Richard Martin ‘Rich Mavoko’ ameachia video ya kazi hiyo ambayo imeanza kufanya vizuri...
View ArticleAfande Sele kuachia albamu ya ‘Amani na Upendo’
Na Elizabeth John MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini ambaye anauwakilisha mkoa wa Morogoro, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ ameachia albamu yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Amani na...
View ArticleChilly Willy, Dodoma Wine, CXC Africa kudhamini Redds Miss Sinza 2013
Na Mwandishi WetuWAKATI jumla ya warembo 13 wamejitokeza kuwania taji la Redds Mid Sinza 2013 iliyopangwa kufanyika Juni 7, kwenye ukumbi wa Meeda Club, kampuni ya Tanzania Distillers Limited (TDL),...
View ArticleFlaviata Matata atoa wito kwa serikali kuhusu ajali ya MV Bukoba
Na Mwandishi WetuMWANAMITINDO wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata ameiomba serikali kutangaza Mei 21 ya kila mwaka kuwa siku maalum ya maombolezo ya wasiku maalum ya maombolezo ya wahanga wa MV...
View ArticleH BABA AHIMIZA 'KUFUNGA ZIPU'
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa bongo fleva nchini, Hamis Ramadhan ‘H Baba’ ameachia kazi yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Funga zipu’ na imeanza kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya...
View ArticleBFT YAOMBA WADHAMINI
Na Elizabeth JohnKOCHA wa timu ya taifa ya ngumi, Remmy Ngabo, ameitaka serikali na wadau wa ngumi nchini, kujitolea kudhamini kambi ya mabondia 16 ambao wanajiandaa na mashindano ya Majiji...
View ArticleWabunge wasiwe watoro majimboni Mwao!
Na Bryceson Mathias KATIKA hali isiyo ya kawaida nchini, baadhi ya wabunge wameyatelekeza majimbo yao kwa kutorudi kusikiliza kero za wananchi na kutimiza ahadi zao. Imefikia baadhi ya wanasiasa...
View ArticleNAPE YUPO BERLIN, UJERUMANI
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye (katikati) akikaribishwa na baadhi ya viongozi wa chama cha SPD mjini Berlin, Ujerumani alipowasili jana kuhudhuria sherehe za miaka 150 ya kuzaliwa...
View ArticleRAIS KIKWETE ATHIBITISHIA UMMA KWAMBA PSPF IKO IMARA NA HAITAKUFA
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Ndugu. Adam H. Mayingu tuzo ya kuwa Mfuko wa kwanza wa Hifadhi ya Jamii Tanzania kutoa...
View ArticleTMK Wanaume Halisi waibuka na ‘Fitina’
Na Eliabeth JohnKUNDI la Muziki la wanaume Halisi ‘TMK Wanaume Halisi’ linajipanga kutambulisha ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la ‘Fitina’ hivi karibuniAkizungumza jijini Dar es Salaam, mmoja wa...
View ArticleDiaomond, Ney wa Mitego ndani ya Maisha Club J'pili
WASANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ney wa Mitego na Diamond Platinum wanatarajia kuendelelea kuzindua video ya wimbo wao wa 'Muziki gani' katika ukumbi wa Maisha Club, Jumapili.Akizungumza na...
View ArticleDAB, TRANSAFRICA ZAZINDUA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA
Meneja wa DAB barani Afrika, Carlo Fuccella, akifunua pazia maalum kama ishara ya uzinduzi wa ushirikiano wa kibiashara na Kampuni ya TransAfrica Water uliofanyika juzi jijini Dar es Salaam. DAB...
View Article