$ 0 0 Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashilila (kushoto) akimpa pole Theresia Mlekani ambaye ni mke wa Ofisa Habari Mwandamizi wa Bunge, Ernest Zulu wakati alipokwenda kuwapa pole wafiwa nyumbani kwao Ubungo Kibangu, Dar es Salaam.