Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFISA MTENDAJI MKUU WA TTCL DK. KAMUGISHA KAZAURA ATOA MADA KUHUSU MKAKATI WA...

Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada hiyo kwa umakini.  Ofisa Mtendaji mkuu wa TTCL Dkt. Kamugisha Kazauraakiwasilisha mada kwenye mkutano huo, kushoto ni Eng. Samuel D. Shila kutoka kampuni ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHINDI WA MIL 100 WA PROMOSHENI YA VODACOM MAHELA AFUNGUA AKAUNTI NMB

Benki ya NMB imemkaribisha  mshindi wa milioni 100 wa Vodacom MAHELA , Bwana  Valerian Nickodemus kwa kumfungulia akaunti na kujitolea kumpa mafunzo ya ujasiriamali na matumizi sahihi ya fedha  ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NA KUMPA POLE KUFUATIA VIFO...

. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkuu wa jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Said Mwema, ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI YA MTAA WA CHANG`OMBE 'B' WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA SERENGETI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa mtaa wa Chang`ombe `B’ baada ya kutembelea kiwanda cha bia cha Serengeti jana jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA CHESS KUTIMUA VUMBI JUNI 14-6

 Mkurugenzi wa Spicenet Tanzania, Viney Choundary akizungumza  na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu mashindano ya wazi ya kimataifa yajulikanayo kama ‘Spicenet Tanzania Open Chess...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAFUNIKA MKUTANO WA LUDWA,NJOMBE

  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa CCM, kwenye Uwanja wa mpira mjini Ludewa mkoni Njombe, leo May 28, 2013. Kinana ambaye yupo katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI YA EO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKUDATA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALBERT MANGWEAR AFARIKI DUNIA AFRIKA KUSINI

Na Mwandishi WetuHABARI zilizopatikana jioni hii zinasema kuwa Mwanamuziki mahiri wa Hip-Hop kutoka Tanzania, Albert Mangwair amefariki dunia huko nchini Afrika Kusini kwenye  hospitali ya Hellena...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Redds Miss Tanzania awataka Redds Miss Sinza kulinda heshima 2013

 Miss Sinza na Miss Tanzania 2012-2013, Brigit Alfred (katikati) akipozi na warembo wanaowania Taji la Redd's Miss Sinza 2013, wakati alipowatembelea kwenye Kambi yao ya mazoezi katika Ukumbi wa Meeda...

View Article

KAMPENI ZA UDIWANI TEMEKE ZASHINKA KASI

Na Mwandishi WetuMGOMBEA udiwani kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kata ya Mianzini wilayani Temeke, Ngwata Saulo, amewataka Wanamiazini kumchagua kwa kuwa chama chake kina...

View Article

WAFANYABIASHARA KARIAKOO WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA MIZIGO YAO BANDARINI

 Na Mwandishi Wetu, BAADHI ya wafanyabiashara katika maduka ya nguo Kariakoo jijini Dar es Salaam wameendelea kulalamika, pamoja na kuelezwa kuwa suala lao la kucheleweshwa mizigo yao Bandarini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Exim yapiga jeki kampeni za utalii Mlima Kilimanjaro

Mkrugenzi wa Kampuni ya Global Career Company (GCC) ya nchini Uingereza  Sarah Roe (kulia) akipeperusha bendera ya benki ya Exim kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro maarufu kama ‘Uhuru Peak’ wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGWEA AFARIKI SIKU MOJA KABLA YA KUREJEA TANZANIA

Na Elizabeth JohnTASNIA ya muziki wa Hip hop nchini, imepata pengo kubwa baada ya kumpoteza nyota wa muziki huo, Albert Mangwea ‘Ngwea’, aliyefariki juzi akiwa Afrika Kusini alipoenda kwaajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘The Finest’ ya Mwana FA yapisha msiba wa Ngwea

Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa bongo fleva nchini, Mwana FA amesema ameahirisha kufanya shoo yake ambayo inajulikana kwa jina la ‘The finest’ ambayo ilitakiwa kufanyika leo, ili kuupisha msiba wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Odama aisambaza ‘Whitch Doctor’

Na Elizabeth JohnMWANADADA ambaye anafanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini, Odama amesambaza filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Whitch Doctor’.Akizungumza Dar es Salaam, nyota huyo alisema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KASEBA APANIA KUMKALISHA MMALAWI

Na Elizabeth JohnBONDIA wa ngumi za mateke ‘Kick Boxer’ Japhet Kaseba amesema amejipanga kuweka rekodi nzuri katika tasnia hiyo kwa kumchapa Mmalawi, Rasco Chimwanza katika pambano lao la kuwania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA MISS TANZANIA YAKUTANA NA WAREMBO WA KIGAMBONI

 Warembo wa Redd's Miss Kigamboni wakiwa katika pozi Kamati ya Miss Tanzania ikiwa katika picha ya pamoja na warembo wa Redds Miss Kigamboni Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KINANA NJOMBEA MOTOOOO

*Akagua ufukwe wa ziwa Nyansa katika mwambao wa ziwa hilo kwenye kijiji cha Lupingu, wilayani Ludewa, na kuwambia wananchi wasihofu na maneno Malawi kuhusu ziwa hilo, Serikali ipo imara kuwalinda usiku...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>