RAIS KIKWETE AVUTIWA NA NGUO ZINAZOTENGENEZWA NA KAMPUNI YA BINTI AFRICA...
Rais Jakaya Kikwete akichagua mashati yaliyomvutia kwa ubora yanayotengenezwa na Kampuni ya Binti Africa Unique Colorful Quality ya Jijini Dar es Salaam akiongozwa na Ofisa Mtendaji Mkuu na Meneja mwa...
View ArticleWAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII AZINDUA NEMBO MPYA YA AMREF HEALTH AFRICA...
Mkurugenzi wa Amref Health Africa Tanzania Dr. Festus Ilako (wa kwanza Kushoto) Akimkaribisha Waziri wa Afya Dr. Seleman Seif Rashid kuzindua Nembo Mpya.Waziri wa Afya, Mwenyekiti wa bodi ya kimataifa...
View ArticleArticle 2
DIWANI WA TLP LUPINGU ASEMA YEYE SI MPINZANI ,AMFAGILIA MBUNGE FILIKUNJOMBE KWA KASI YA MAENDELEOMbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishiriki kubeba nguzo.Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo...
View ArticleKIINGILIO MECHI YA TAIFA STARS, MSUMBIJI 7,000
Kiingilio cha chini cha mechi kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Msumbiji (Mambas) itakayochezwa Julai 20 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kitakuwa sh. 7,000.Tiketi zinapatikana kwa mfumo wa...
View ArticleMH. ANGELA KAIRUKI AFUNGA MAFUNZO YA WAAMUZI WA MCHEZO WA RIADHA DAR
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki akizungumza wakati wa kufunga kozi ya waamuzi wa mchezo wa Riaadha.(Picha na John Dande) Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki akizungumza...
View ArticleLIGI KUU KUANZA SEPTEMBA 20
Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na michezo Mh. Said Ally Mbaruk akimkabidhi vifaa vya michezo kwa meneja wa timu ya Mafunzo Inspecta Hamis Ally. (Na Mpiga Picha Wetu) Michuano ya Ligi Kuu ya...
View ArticleFASTJET KATIKA MAONESHO YA 38 YA BIASHARA VIWANJA VYA SABA SABA JIJINI DAR.
Mmoja wa wateja wa Fastjet akipata maelezo ya huduma ya kununua Tikieti ya Ndege kupitia Mtandao wa simu. Lucy Mbogoro, Afisa Mahusiano na Masoko wa Fastjet akitoa maelezo katika banda la Fastjet...
View ArticleWakulima Momba waipa changamoto Serikali
Na Keneth Ngelesi, MOMBAWAKULIMA wa Mahindi katika kijiji cha Isanga kata ya Nkangamo wilayani Momba Mkoani Mbeya wameiomba serikali kuweka utaratibu kupanga bei elekezi ya pembejeo za kilimo ili...
View ArticleMGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI ATUA TANZANIA KUSAKA KURA, AKUTANA NA MAMA MARIA...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimlaki Mgombea Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi cha FRELIMO, Filipe Nyusi alipowasili leo jioni Julai 9, 2014, kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleRais Kikwete ziarani Lushoto na Bumbuli
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi walihiudhuria mkutano wa Hadhara huko Bumbuli Wilayani Lushoto.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Wabunge wa Lushoto...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR Dk. SHEIN ZIARANI PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mshauri wa Rais Uwekezaji Bw.Abrahman Mwinyi Jumbe (kushoto) akipotembelea shamba la ufugaji wa samaki la...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA ARDHI MH. SIMBACHAWENE ALIPOTEMBELEA BANDA LA NSSF MAONYESHO...
Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mh. George Simbachawene akipata ufafanuzi kuhusu mradi wa Dege Eco village kutoka kwa Mhandisi Julius Nyamuhokya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii...
View ArticleGARI LINAUZWA
MAKER: FORDMODEL: FORD EXPEDITION V8YoM: 2000CC: 5400COLOR: SILVERMAWASILIANO: 0713327106/0756673327
View ArticleGhana FC yatota kwa yachapwa 4-2 na Terminal FC
Na Keneth Ngelesi, MBEYA TIMU ya soka na kituo kikuu cha mabasi Mkoani Mbeya Terminal FC juzi ilifanikiwa kuondoka ka kitita cha shilingi 100,000/ baada ya kuibugiza bila hurumu timu...
View ArticleJOPO LA WAHARIRI LATEMBELEA MIRADI YA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU WA NHC MTANDA,...
Jopo la Jukwaa la Wahariri takriban 85 wametembelea miradi miwili, mmoja wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu Mtanda mkoani Lindi na mwingine wa nyumba za makazi za kati na juu zilizopo eneo la...
View ArticleMSANII MWAJUMA JIMAMA AFUNGA NDOA NA MELELA MUSSA
Msanii wa filamu Mwajuma Thabiti 'Mwajuma Jimama' akiwa katika pozi na mume wake Melela Mussa baada ya kufunga ndoa hivi karibuni Ilala bungoni na kufuatia na sherehe kubwa bwana harusi ni...
View ArticleKIINGILIO MECHI YA SERENGETI BOYS 2,000/-
Mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 kati ya Tanzania (Serengeti Boys) na Afrika Kusini (Amajimbos) itachezwa kwa kiingilio cha sh....
View ArticleRAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WAWAUNGISHA WAUZA SAMAKI PANGANI
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakinunua samaki katika kibanda huko Bweni Wilaya ya Pangani juzi wakati Rais alipokwenda kuzindua mradi wa maji na kuweka jiwe la msingi...
View ArticleMH: NAMELOK SOKOINE ATIMIZA AHADI YAKE KWA KIKUNDI CHA VIKOBA- ARUSHA
Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Arusha, Namelok Sokoine (kushoto), akikabidhi Shs. milioni 5 kwa Mwenyekiti wa Vikoba Kata ya Engutoto, Bilhuda Kisasa, ikiwa ni sehemu ya mchango wake wa shs....
View ArticleMKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU...
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akimkabidhi zawadi ya Vyombo vya ndani na Tende mzee Said Khamis Mnyika wa kijiji cha Changarikwa kata ya Mbwewe kama...
View Article