$ 0 0 Msanii wa filamu Mwajuma Thabiti 'Mwajuma Jimama' akiwa katika pozi na mume wake Melela Mussa baada ya kufunga ndoa hivi karibuni Ilala bungoni na kufuatia na sherehe kubwa bwana harusi ni mfanyabiashara na bi, ni msanii wa kujitegemea.