RAIS KIKWETE MGENI RASMI SHEREHE ZA MIAKA 75 YA KANISA LA TAG JIJINI MBEYA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi kwenye kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa la Tanzania Assemblies of God katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya. PICHA NA...
View ArticleRais Kikwete avuka mto Pangani
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiangalia mandhari ya mji wa Pangani wakati wa ziara ya kikazi wilayani humo.Sehemu kubwa ya mji huo imo katika hatari ya kumezwa na bahari...
View ArticleBALOZI MERO AWAANDALIA FUTARI WATANZANIA GENEVA
Balozi wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Geneva, Mhe. Modest Mero (kanzu jeupe) akila futari pamoja na wageni wake mbalimbali wakiwepo watanzania waishio Geneva katika futari maalum...
View ArticleMTEMVU ATOA MSAADA WA TANI TANO ZA VYAKULA KWA VIKUNDI VYA WASIO NA UWEZO...
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, akimkabidhi msaada wa vyakula, Beatrice Mgomele wa Makao ya Taifa, Kurasini, Dar es Salaam, wakati wa hafla ya Mtemvu kukabidhi msaada wa tani tano ya vyakula kwa vituo...
View ArticleKUELEKEA MECHI YA TANZANIA NA MSUMBIJI, ULIMWENGU, SAMATA KUWASILI JUMATANO
Washambuliaji Thomas Ulimwengu na Mbwana Samata wa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanawasili nchini keshokutwa alfajiri (Julai 16 mwaka huu) kwa ajili ya mechi dhidi ya...
View ArticleWADAU WA MUZIKI KUTOKA MAREKANI WAKUTANA NA WASANII WA TANZANIA
Dk. Mona Mwakalinga akifafanua jambo wakati wa semina ya majadiliano na wasanii wa fani mbalimbali na Mameneja, Wanasheria, Watayarishaji, Waandaji wa Muziki na Filamu. Semina hiyo imefanyika leo...
View ArticleFIFA KUNOA WAAMUZI 30 DAR
Semina na mtihani wa utimamu wa mwili (physical fitness test) kwa waamuzi wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) na baadhi ya wale wa daraja la kwanza wenye kiwango cha juu (elite)...
View ArticleMADUKA MATATU YATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA
Moto ukiwa umeanza kama utani, watu wakiwa wanaendelea na kazi kama kawaida. Moto ukiwa unazidi pamba moto katika duka la kushonea nguo na kuuza vitambaa. Duka la nguo likiungua moto na maduka...
View ArticleRAIS KIKWETE AKABIDHI BENDERA TIMU YA TAIFA INAYOKWENDA KATIKA MICHEZO YA...
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi bendera nahodha wa timu ya taifa inaondoka Julai 16 kwenda Glasgow, Scotland kushiriki Michezo ya Jumuiya ya Madola, Suleiman Kidunda. Hafla hiyo imefanyika Uwanja wa...
View ArticleMBUNGE DK. MARY MWANJELWA AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO-MBEYA
MBUNGE viti maalum mkoa wa Mbeya Dk. Mary Mwanjelwa, akihutubia wananchi na wachezaji wa timu ya Isyesye na Veta jana, katika uwanja wa Isyesye, Vingunguti Relini Jijini Mbeya, wakati wa kukabidhi...
View ArticleWAFUASI WA CCM NA CHADEMA NUSURA WATWANGANE MAKONDE MKUTANO WA NAIBU WAZIRI...
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan wa CCM (KULIA), akiamulia ugomvi wa Diwani wa Kimara, Pascal Manota wa Chadema (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge waliotaka...
View ArticleKINANA ASHIRIKI FUTARI ILIYOANDALIWA NA MTEMVU DAR
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu alipowasili, kwenye futari iliyoandaliwa na mbunge huyo Julai 15, 2014, kwenye hoteli ya City Garden, Railyway...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MAJI, MAKALLA AWANASA WEZI WA MAJI DAR NA KUTANGAZA KUFILISI...
Meneja Mkuu wa Kampuni ya ufyatuaji matofali ya Ujenzi Solutions, ya Kimara kwa Msuguri, Dar es Salaam, Rahim Hamis na mfanyabiashara wa kampuni isiyo na jina, Credo Rajab (kulia) wakiwa chini ya...
View ArticleTBC YAFANYA HALFA YA KUHITIMISHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2014, DAR
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (kulia) akiwakaribisha wageni walioalikwa katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai...
View ArticleRais Jakaya Kikwete akutana na wasanii nyota wa filamu na muziki kutoka...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wasanii nyota wa filamu na muziki kutoka Marekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa Tanzania. Wasanii hao ni na Terrence J. Jenkins,...
View ArticleAFRIKA KUSINI YAWASILI KUIVAA SERENGETI BOYS
Afrika Kusini (Amajimbos) imewasili nchini kuikabili Tanzania (Serengeti Boys) katika mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 itakayochezwa...
View ArticleArticle 9
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRelease No. 126TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIJulai 16, 2014RAIS WA TFF AANDAA FUTARI KWA WADAURais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameandaa...
View ArticleArticle 8
Serikali yapokea msaada wa Dolaza Kimare kanie lfu 93 kusaidia Timu za Taifa zinazoshiriki mashindano ya Jumiya ya Madola NaibuWaziriwaHabari, Vijana, UtamaduninaMichezoJuma Suleiman...
View ArticleArticle 7
Majadiliano ya masuala ya kodi Afrika yafanyika ArushaWaziri wa Fedha, Saada Mkuya (wa pili kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TRA, Rished Bade (kushoto) na Dk.Jeffrey Owens mtaalam mshauri wa kodi...
View ArticleArticle 6
KITABU CHA KWANZA KINACHOELEZA HISTORIA YA KLABU YA SIMBA TANGU 1920 Mtunzi wa kitabu cha HISTORIA YA SIMBA, Mwina Kaduguda akizungumza kuhusu hatua aliuzopitia wakati wa kuandaa kitabu hicho,Wa...
View Article