Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

NAIBU WAZIRI WA ARDHI MH. SIMBACHAWENE ALIPOTEMBELEA BANDA LA NSSF MAONYESHO YA SABASABA

$
0
0

Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mh. George Simbachawene akipata ufafanuzi kuhusu mradi wa Dege Eco village kutoka kwa Mhandisi Julius Nyamuhokya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF alipotembelea Banda la Shirika hilo katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya sabasaba yaliyomalizika hivi karibuni. 
 Meneja Kiongozi  Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa NSSF, Eunice Chiume wa NSSF (kulia), akiwa na Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mh. George Simbachawene wakati alipotembelea banda la NSSF katika Maonyesho ya Sabasaba.
Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mh. George Simbachawene akipata ufafanuzi kuhusu mradi wa Dege Eco village kutoka kwa Mhandisi Julius Nyamuhokya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF alipotembelea Banda la Shirika hilo katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya sabasaba yaliyomalizika hivi karibuni. Kulia ni Meneja Kiongozi  Uhusiano na Huduma kwa Wateja, Eunice Chiume wa NSSF.
Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mh. George Simbachawene akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la NSSF.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>