Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 9

NSSF MEDIA CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI MACHI 29Meneja Kiongozi Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 8

MTANZANIA AFARIKI MAREKANI, NDUGU WA MAREHEMU WATAKIWA KUJITOKEZAHabari kutoka Madison Wisconsin nchini Marekani zinasema kuwa mtanzania, Michael Agustine Lukindo (pichani), amefariki Dunia na hakuna...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 7

Rais Kikwete ahutubia wananchi MuhezaRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa hadhara mjini Muheza jana jioni.Rais Kikwete anatarajia kuhitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Tanga leo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 6

MVUA YALETA MADHARA DARMti ukiwa  umeanguka na kuziba barabara ya Kinondoni, Makaburini jijini Dar es Salaam na kusababisha msongamano wa magari, mti huo ulianguka usiku wa kuamkia leo. (Picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

ZIARA YA KINANA TEMEKE, AKUTANA NA VIKUNDI VYA VICOBA VILIVYOASISIWA NA MTEMVU Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Kigamboni Dk. Faustine Ndungulile, alipowasili kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

RIDHIWANI AZIDI KUPETA CHALINZE Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimnadi mgombea wa nafasi ya ubunge jimbo la Chalinze  kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete kwenye mkutano wa kampeni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

PAMBANO LA YANGA NA PRISONS KATIKA PICHAMshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akiwatika beki wa Prisons ya Mbeya katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

MAELFU WAJITOKEZA KUUGA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA MAREHEMU JOHN GABRIEL TUPANa Shomari Binda, MaraMAELFU ya wananchi wa mkoa wa Mara pamoja na mikoa jirani wakiongozwa na viongozi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

MVUA YALETA BALAA DAR, WENGI WAKOSA MAKAZI Mkazi wa Msasani akijishauri jinsi ya kutoka ndani ya nyumba yake. Mkazi wa Msasani kata hya makangira akitoka katika nyumba yake baada ya kujaa maji ya mvua....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUWAKUNA MASHABIKI WAKE NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE Waimbaji wa Skylight Band kutoka kushoto Hashim Donode, Digna Mbepera, Winfrida Richard na Aneth Kushaba AK47 wakitoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

Mama Tunu  Pinda awaasa wanandoaMKE WA WAZIRI MKUU Mama Tunu Pinda amewaeleza wanandoa kuwa ndoa ndiyo taasisi ya kwanza kuwafundisha watu maadili na kumjua Mungu pasipo Mungu haiwezekani.Amesema hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

BIG RESULTS NOW YAKUSANYA MABILIONI KWA KIPINDI CHA NUSU MWAKANa Sufianimafoto Reporter, Kibaha Serikali imekusanya jumla ya shilingi bilioni 215.0 katika kipindi cha Julai hadi Disemba, 2013 kutokana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUJIUNGA NA NSSFNa Mwandishi WetuMASHINDANO ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii inayowahusisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari (NSSF Media Cup)...

View Article


Article 3

WANACHAMA TFF KUANDALIWA KATIBA MFANO YA MAREKBISHOKamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF imekutana Machi 30 mwaka huu kujadili utekelezaji wa maagizo ya TFF kwa wanachama wake kurekebisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

RAIS KIKWETE AONGEA NA MAMIA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA Rais Dk Jakaya \Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania waishio Uingereza alipokutana nao katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre,...

View Article


Article 1

Uingereza ndani ya Tamasha la PasakaNa Mwandishi WetuMUIMBAJI wa Kimataifa raia wa Uingereza Ayobami David  ni mmoja wa waimbaji watakaoshiriki katika Tamasha la Pasaka linalotarajia kuanza Aprili 20...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

KINANA ALIVYOITIKISA DAR Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wakazi wa Dar es Salaam kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga. Wananchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND ATAMANI KUZAA NA WEMA SEPETU

Na Elizabeth JohnSTAA wa muziki nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’,  amesema kuwa anatamani kuwa na mtoto ili aweze kwenda sawa na wasanii wengine na angependa mpenzi wake Wema Sepetu ndiye awe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONGO MOVIE YAWASAIDIA AKINA MAMA MWANA'NYAMALA

Na Elizabeth John BONGO Movie Unit wameisaidia  wodi ya akinamama na watoto katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam kwa kutoa vitu vyenye thamani ya milioni 15 kama shukrani kwao kutokana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAJALA AWACHANA WANAOMFATILIA MWANAE

 Na Elizabeth JohnMWANADADA anayetamba katika tasnia ya filamu nchini, Kajala Masanja ‘Kajala’, amewataka wanaomfatilia maisha yake na mwanae kukaa mbali na wao kwani hawajui ni shida gani amepata...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>