$ 0 0 MVUA YALETA MADHARA DARMti ukiwa umeanguka na kuziba barabara ya Kinondoni, Makaburini jijini Dar es Salaam na kusababisha msongamano wa magari, mti huo ulianguka usiku wa kuamkia leo. (Picha na Francis Dande)