Rais Dk Jakaya \Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania waishio Uingereza alipokutana nao katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Wembley, London, aliko katika ziara ya kiserikali ya siku tatu kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe David Cameron. (Picha na Ikulu)