Article 1
KINANA AFIKA MAENEO YA PEMBEZONI NKASI Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana jana, aliendelea na ziara yake katika mkoa wa Rukwa, kwa kutembelea wananchiwalioko pembezoni mwa mkoa huo, ambapo alifika...
View ArticleArticle 0
WENGI WAJITOKEZA KUJIUNGA NA NSSFWaziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka (wa pili kulia), akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Carloyne Newa...
View ArticleArticle 3
Askofu Mtetemela; Ni Mapema kusema Katiba Mpya Itapatikana au Laa!Na Bryceson Mathias, DodomaAskofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela, amesemama, Ni mapema mno kusema Katiba...
View ArticleArticle 2
WIZARA YA KAZI NA AJIRA YATOA UFAFANUZI Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw. Ridhiwani Wema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo piuchani) kuhusu...
View ArticleArticle 1
ASDP/ASDP-L, MUVI NA MIVARF INAYORATIBIWA NA WIZARA MBALIMBALI TANZANIA BARA NA ZANZIBAR WATEMBELEA MAFANIKIO YA MIRADI INAYOSIMAMIWA NA WADAU WA MAENDELEOSkimu ya Maji ya Kabambe iliyojengwa katika...
View ArticleArticle 0
SEMINA YA UWEKEZAJI YA BENKI YA CRDB YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Kigoma Malima akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, alipowasili katika...
View ArticleArticle 0
IBADA YA KUUOMBEA MWILI WA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN DAYOYSISI YA KATI GODFREY MHOGOLO YAFANYIKA LEO Jeneza likiwa na mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Dayosisi ya Dodoma...
View ArticleArticle 12
RIDHIWANI AITEKA PERA Mke wa Ridhiwani Kikwete ,Arafa akimuombea kura mumewe kwa wananchi wa kata ya Pera. Mwigulu Nchemba akimnadi mgombea wa ubunge wa CCM Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete....
View ArticleArticle 11
TSN BOYS KUKABILI MWANANCHI MEDIA KOMBE LA NSSF: MROKI AIAHIDI DAU NONOKikosi cha TSN Boys TIMU ya soka ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) inashuka dimba la Sigara, Chang’ombe, Dar es Salaam...
View ArticleArticle 10
RAIS KIKWETE AREJEA NYUMBANI BAADA YA ZIARA YA UINGEREZA NA UBELGIJIRais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki baada ya kuwasili leo April 4, 2014...
View ArticleArticle 9
KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge la Katiba, Hamad Rashid Mohamed akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma juu ya mambo yaliyojitokeza katika Kamati yake.Waziri...
View ArticleArticle 8
STEPS SOLAR NA TAREA KUFUNGA SOLA KATIKA ZAHANATI,SHULE NA VITUO VYA WATOTO YATIMAOfisa Uhusiano wa Kampuni ya Steps Solar Moses Mwanyilu 'kulia' akimkabidhi Katibu mtendaji wa Tanzania Renewable...
View ArticleArticle 7
SKYLIGHT BAND YAJA NA STYLE YA "YACHUMA CHUMA" KATIKA KIOTA CHA THAI VILLAGEVideo mpya ya nyimbo ya Kariakoo ya Skylight Band...Enjoy.Aneth Kushaba AK47 (wa pili kushoto) akiongoza waimbaji wa Skylight...
View ArticleArticle 6
KINANA AINGILIA KATI MGOGORO WA SHAMBA LA EFATA NA WANANCHI SUMBAWANGA Mkazi wa Kijiji cha Mawenzusi, Kata ya Molo, Nuru Togwa akionesha jinsi masikio yake yalivyokatwa na anayedaiwa kuwa mwekezaji wa...
View ArticleArticle 5
KAMPENI ZA LALA SALAMA CHALINZELicha ya sheria ya uchaguzi kuzuia kufanya shughuli za sisa katika majengo ya umma na serikali hususan wakati wa kamepi, baadhi ya vyama vya siasa vimekuwa viukikaidi...
View ArticleArticle 4
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN CENTRAL TANGANYIKA Waziri mkuu Mizengo Pinda na mkewe wakitoa heshima za mwisho walipokuwa wakiuaga mwili wa...
View ArticleArticle 3
KINANA ATIA FORA SUMBAWANGA VIJIJINIKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi, katika kijiji cha Ilemba, kata ya Ilemba, alipohutubia wananchi katika kata hiyo akiwa katika...
View ArticleArticle 2
MKUTANO WA CCM NI NYOMI MIONO Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar Dk.Mohamed Shein akimnadi mgombea wa Ubunge wa CCM Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete kwenye mkutano wa...
View ArticleArticle 1
STAND YASHINDA MALALAMIKO DHIDI YA JKT KANEMBWAKamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekubali malalamiko ya Stand United dhidi ya JKT Kanembwa kulalamikia timu hiyo...
View ArticleArticle 0
Usiku wa taarabu‘Old is Gold’ kufanyika Regency Hotel Na Andrew ChaleWAPENZI wa nyimbo za zamani za taarabu asilia nchini Jumapili hii ya Aprili 6, wanatarajiwa kupata burudani safi na ya aina yake...
View Article