MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA ALLY SYKES JIJINI DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mjane wa marehemu Ally Sykes, Zainab Ally, wakati alipofika kuhani msiba huo wa mwasisi wa TANU, aliyefariki...
View ArticleHADIJA SAID AIBUKA MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 KITAIFA
Msiss Utalii Tanzania 20012/13 Hadija Said (katikati) akiwa kapika picha ya pamoja na Lucy Noel (kushoto) na mshindi tatu Theresia Kilomo Washindi wa tano bora wakiwa katika picha ya pamoja na...
View ArticleSera ya Gesi: Maoni ya Awali #RasimuyaGesiAsilia #TanzaniaNaturalGasPolicy
Jana wabunge tumegawiwa rasimu ya Sera ya Gesi Asilia. Leo Wizara ya Nishati na Madini itaendesha semina kwa wabunge kuhusu sera hiyo.Draft 3- The Natural Gas Policy of Tanzania -2013(Rasimu ya Sera ya...
View ArticleCCM YAWAONYA WANAOJIPITISHA KUOMBA KUCHAGULIWA KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaonya na kuwapiga marufuku, makada na wanachama wake wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao, kutothubutu kuanza kujipitipitisha kwa wapiga kura...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DK. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA BARAZA LA USIMAMIZI WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa baraza la usimamizi wa Mawasiliano Afrika, uliofunguliwa leo...
View ArticleTAIFA STARS YAINGIA KAMBINI KUJIWINDA NA WAMOROCCO
Kikosi cha Taifa StarsDAR ES SALAAM, TanzaniaWakati huo huo; Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), limemteua mwamuzi wa kimataifa wa Tanzania, Leslie Liunda, kuwa mtathimini wa waamuzi (referee assessor)...
View ArticleTFF WAJIWEKA KANDO SAKATA LA USAJILI WA NGASA YANGA
Mwenyekiti wa Yanga Lawrance Mwalusako, akimtambulisha mshambuliaji Mrisho Ngassa jana katika Makao Makuu ya klbu hiyo makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani Dar es Salaam.DAR ES SALAAM,...
View ArticleFLAVIANA MATATA ASHIRIKI MISA YA AJALI YA MV BUKOBA
Flaviana Matata akiwa Baba ake mzazi katika Misa ya maombelezo Ajali ya MV Bukoba ambapo Flaviana alimpoteza Mama yake mzazi, Igoma,Mwanza Flaviana Matata akiwasha mshumaa ikiwa ni ishara ya...
View ArticleJK AONGOZA KIKAO CHA CC LEO, DOM
1. Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wajumbe, wakati wa Kikao Cha Kamati Kuu (CC) ya CCM, kilichofanyika leo May 21, 2013, kwenye ukumbi wa Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MWENYEKITI MSTAAFU WA KAMATI TENDAJI YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa Bunge la China, Lu Youngxiang (wa pili kushoto) aliyeongozana na ujumbe wake...
View ArticleCCM ibadilike; Ikinipuuza, Italia na kusaga Meno 2015
Na Bryceson MathiasCHAMA cha Mapinduzi (CCM) kinahitajika kibadilike, hasa wakati huu ambao wananchi wana uelewa mpana kuhusu Haki zao, na akama hakitafanya hivyo, amini usiamini kwa mtaji wa Kero...
View ArticleMAONI NA MAPENDEKEZO YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) JUU YA...
1.0. UTANGULIZISheria ya Mabadiliko ya Katiba Sura ya 83 (kifungu cha 18 (3)) imetoa wajibu kwa tume wa kuunda Mabaraza ya Katiba kwa ajili ya kupitia na kutoa maoni juu ya Rasimu ya Katiba...
View ArticleCCM YATOA TAMKO KIKAO CHA WABUNGE WAKE
Mei 19, 2013 Chama Cha Mapinduzi kilifanya kikao cha siku moja na wabunge wanaotokana na CCM, kikao hicho kilifanyika mjini Dodoma ambapo pamoja na viongozi wengine wa juu wa CCM kikao hicho...
View ArticleMWAMUZI WA AFRIKA KUSINI KUICHEZESHA STARS
MOROCCO Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limemteua mwamuzi kutoka Afrika Kusini kuchezesha mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia, Kanda ya Afrika kati ya Tanzania (Taifa Stars) na wenyeji...
View ArticleMAKAMU WA RAIS; SERIKALI IKO TAYARI KUSHIRIKIANA NA WASOMI
Na Mwandishi WetuMAKAMU wa Rais Dk. Mohammed Gharibu Bilal amesema Serikali iko tayari kushirikiana na Wasomi nchini katika tafiti mbailimbali wanazofanya ili ziweze kuliletea Taifa...
View ArticleYOUNG KILLER AIPONGEZA SERIKALI
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Young Killer ameipongeza serikali kwa kuamua kurudia kutoa upya matokea ya kidato cha nne ya mwaka jana.Akizungumza jijini Dae es Salaam, Young...
View ArticleSUMA MNAZARETI AHOJI 'TUPO WANGAPI'
Na Elizabeth JohnNYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Suma Mnazareti amesema anatarajia kuachia kibao chake kipya hivi karibuni kinachokwenda kwa jina la ‘Tupo wangapi’.Akizungumza jijini Dar es...
View ArticleMR. BLUE AIBUKA NA 'NIPENDE'
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya, Heri Samil ‘Mr Bluu’ anatarajia kuachia kazi yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la ‘Nipende’.Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mr Bluu...
View Article