Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

ADHA YA MVUA DARMvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha baadhi ya barabara kupitika kwa tabu, kama inavyoonekana pichani daladala likipita katika dimbwi kubwa la maji katika Mtaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

Mandela ni Kioo cha Ma-Rais na Viongozi wote dunianiNa Bryceson MathiasMA-RAIS na Viongozi wote duniani, hivi leo wakitaka kupima na kujitazama mwenendo na Sura ya Utawala walionao, basi wanatakiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

NSSF YANOGESHA SIKU YA FAMILIA BULYANHULU GOLD MINEKAHAMA, ShinyangaSHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limetoa kiasi cha shilingi milioni 2, fulana 450 na kalenda 180 kwa uongozi wa mgodi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

MAMA KIKWETE AWATAKA WATANZANIA KUTUMIA MAKTABA KUJISOMEANa Anna Nkinda – MaelezoWatanzania wametakiwa kutumia maktaba zilizopo kusoma vitabu na machapisho yaliyopo ili waweze kujiongezea elimu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

MDAU GROY TESHA AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA ALOYCE MREMAMabinti wakiwamefunikwa shuka ili kumpa ugumu mshenga wa upande wa bwana harusi mtarajiwa kumtambua binti anayetolewa mahali, na endapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

NSSF yapongezwa Nguvu Kazi Exhibition 2013Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dk. Batilda Burian akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika maonesho ya...

View Article

Article 16

FA MIKOA YAPATA MIPIRA TFFShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa mipira kumi kwa kila chama cha mpira wa miguu cha mkoa ili isaidie kuendesha ligi za mikoa husika.Mipira hiyo 250 yenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 15

SBS yazindua kadi ya B-PESA katika soko la TanzaniaMkurugenzi Mtendaji wa Smart Banking Solutions Limited (SBS) Gustavo Vermaas (kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Baraza la Habari Tanzania,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 14

MTEMVU AZIDI KUWAPATIA WATANZANIA KAZI DUBAI Mwenyekiti wa Kampuni ya Bravo, Abbas Mtemvu (kulia) akimkabidhi Mkazi wa Bagamoyo, Asha Vitalis tiketi ya ndege na nyaraka zingine kwa jili ya safari ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 13

Skylight Band yazidi kuvumbua vipaji vipya, tukutane pale kati jioni ya leoKikosi kazi cha Skylight Band kikishambulia jukwaa ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku shabiki wao akipata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUDUMA YA KADI ZA B-PESA YAZINDULIWA TANZANIA

DAR ES SALAAM, TanzaniaKAMPUNI  ya Smart Banking Solutions (SBS) imezindua kadi mpya ya huduma za kifedha inazowezesha  watu wa viwango mbalimbali vya kipato kupata huduma  bora kwa haraka na kisasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 11

WATU SABA WAFUKIWA NA KIFUSI NA KUFA PAPO HAPO-MOSHIWananchi wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa  miili ya watuwalofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumuani wilaya ya Moshi vijijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 10

WIVU WA MAPENZI NA UKATILI WA KIJINSIA: MAMA MMOJA AMWAGIWA MAJI YA MOTO MWILI MZIMAMuuguzi wa zamu Bi. Neema Bayo akimfunika majeruhi Bi. Neema Teti aliyemwagiwa maji ya moto mwili mzima, kwa kudaiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 9

LOWASSA ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA NDEGE-ARUSHANDEGE ya Kampuni ya Presicion Air yenye namba 5H 22 ikiwaimelala kwa tumbo katika uwanja mdogo wa ndege wa kisongo, Arusha. Waziri Mkuu aliyejiuzulu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 8

WATUMIAJI KADI ZA B-PESA WAHAKIKISHIWA USALAMA WA FEDHA ZAODAR ES SALAAM, TanzaniaKADI za B-PESA zilizozinduliwa mapema wiki hii, zimeelewa kuwa usalama wake wa fedha za mteja ni wa hali ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 7

MCHEZAJI WA ZAMANI WA MAN UNITED, ANDY COLE ATUA DAR Mchezaji wa zamani wa Manchester United Andy Cole akiongea na waandishi wa habari katika mkutano wa kumkaribisha nchini uliondaliwa na kampuni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 6

WABUNGE WAHENYA NA MAFAILI KUHOJIWA NA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMANape akizungumza leo: Picha na Bashir NkoromoNa Bashir NkoromoKamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kikao chake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

YANGA YAINYOA KMKM 3-2 Kocha wa Yanga, Ernstus Brands (kulia), akifuatilia pambano la kirafiki kati ya Yanga na KMKM lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa leo. Yanga imeshinda ilishinda 3-2. (Picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

Serikali yaipongeza UCA-Tanzania kuwanyanyua wasanii chipukiziMkurugenzi Msaidizi Idara ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Leah Kihimbi kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA KIBADA, KIGAMBONI DAR Kaimu Mhandisi wa Maji Manispaa ya Temeke, ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Meckiline Haule (katikati) akikata...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live