$ 0 0 ADHA YA MVUA DARMvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha baadhi ya barabara kupitika kwa tabu, kama inavyoonekana pichani daladala likipita katika dimbwi kubwa la maji katika Mtaa wa Lindi. (Picha na Francis Dande) Mtaa wa Mkwepu.