Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 9

$
0
0
LOWASSA ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA NDEGE-ARUSHA
NDEGE ya Kampuni ya Presicion Air yenye namba 5H 22 ikiwa
imelala kwa tumbo katika uwanja mdogo wa ndege wa kisongo, Arusha. Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa alikuwa ni miongoni mwa abiria walionusurika kufa baada ya magurudumu yote manne kupasuka  wakati ikitua.(Picha na Grace Macha)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles