VYAMA VIKUU VITATU VYA UPINZANI VYAUNGANA KATIKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akifafanua jambo wakati vyama vya upinzani vya Chadema, NCCR-Mageuzi na CUF vilipokutuna jijini Dar es Salaam na kutoa tamko...
View ArticleALLY NIPISHE AISAMBZA 'KWEA PIPA BINADAMU'
Na Elizabeth JohnMSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka Nyumba ya Kukuza Vipaji Tanzania (THT), Ally Nipishe, anatarajiwa kusambaza ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Kwea pipa binadamu’, hivi...
View ArticleClara ndiye Redd’s Miss Sportwoman
Clara Bayo wa kwanza kulia.Na Mwandishi WetuMREMBO Clara Bayo anayetoka Kanda ya Mashariki juzi jioni alifanikiwa kutwaa taji la Redd’s Miss Sportwoman na hivyo kupata fursa ya kuingia 15 Bora ya...
View ArticleKINANA AWASHUKIA WATENDAJI WAZEMBE
ATAKA VIONGOZI WA CHAMA KUFANYA KAZI KWA KUJITOLEAAWAAGIZA VIONGOZI WA CHAMA KUWA KARIBU NA MABALOZI WA NYUMBA KUMIAPONGEZA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZIASEMA KATIBA HAITABADILISHA MAISHA KAMA...
View ArticleDIAMOND AWATOSA WASANII WA BONGO
Na Elizabeth JohnMSANII wa muziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ amesema hatafanya tena kazi na wasanii wa bongo akitaka kushirikiana ataangalia mbele kwa kushirikiana na wasanii wa...
View Article'KIMUGINA' YA LINEX VIDEONI
Na Elizabeth JohnBAADA ya kutamba na kibao chake cha ‘Kimugina’, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Sunday Mangu ‘Linex Mjeda’ anataraja kuachia video ya kazi hiyo hivi karibuni.Mbali na kazi...
View ArticleJINA LA WIMBO LAMUUMIZA KICHWA SUMA LEE
Na Elizabeth JohnNYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ismail Seif ‘Suma Lee’ anajipanga kuachia kazi yake mpya hivi karibuni ambayo bado hajaipatia jina kutokana na ubora wa kazi hiyo.Suma Lee...
View ArticleRT WAITA 30 KUIWALIKISHA TZ MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA
Na Elizabeth JohnSHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT), limependekeza majina ya wanariadha zaidi ya 30 watakaounda timu ya taifa inayotarajia kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola mwakani.Akizungumza...
View ArticleBFT: TUNASUBIRI BARUA KUTOKA AIBA KWAAJILI YA MASHINDANO YA KLABU BINGWA YA...
Na Elizabeth JohnSHIRIKISHO la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), linasubiri barua kutoka Shirikisho la Ngumi Duniani (AIBA) kwaajili ya kujulishwa tarehe mpya ya mashindano ya ubingwa wa Afrika ambayo...
View ArticleWATANO WAINGIA 15 BORA YA REDD'S MISS TANZANIA 2013
Warembo watano waliofanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali ya Redd’s Miss Tanzania 2013 wakiwa katika picha ya pamoja jana. Kutoka kushoto ni Miss Tanzania Photogenic 2013, Happiness Watimanywa, Miss...
View ArticleKINANA KWA UTANI....
Mbali ya ratiba ngumu za Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana na uchapa kazi wake mara zote awapo kwenye ziara zake, lakini pia amekuwa rafiki mkubwa wa wanahabari na mwenye...
View ArticleRPC MORO AIBARIKI ANATORY POOL CLUB
RPC, Faustine Shilogile,Mkurugenzi wa Anatory,Anatory Makasi,Uongozi wa TBL Mkoa wa Morogoro na wachezaji wa Club ya Anatory wakiwa kwenye picha ya pamoja. RPC, Faustine Shilogile akisalimiana na...
View ArticleSEVERINA LWINGA ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA PERSONALITY 2013
Severina ameungana na Miss Tanzania Photogenic 2013, Happiness Watimanywa, Miss Tanzania Talent 2013, Prisca Clement, Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface na Miss Tanzania Sports Woman,...
View ArticleUWAKILISHI KWENYE MKUTANO MKUU TFF
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imesema uwakilishi wa ujumbe kwenye Mkutano Mkuu unaanzia kwenye chama cha mpira wa miguu cha mkoa, kufuatiwa na...
View ArticleWaziri aagiza Wakala wa Hifadhi ya Chakula na TRL kushirikiana
Katika ziara hiyo Waziri Lukuvi amewaagiza Wakala wa Hifadhi ya Chakula NFRA pamoja na TRL kushirikiana kwa pamoja ili kuweza kuanza kusafirisha Mahindi mapema kuelekea Shinyaga kabla ya kuanza kwa...
View ArticleHOSPITALI ZA TUMBI, MOROGORO NA USALAMA BARABARANI ZANUFAIKA NA MSAADA WA TBL
AFISA Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Dorris Malulu mwenye miwani akikabidhi hundi yenye thamani ya sh. Mil. 13 kwa Daktari wa Upasuaji katika hospitali ya Tumbi Kibaha, Pwani,hiyo Dkt....
View ArticleTCRA YATOA MAFUNZO KWA BLOGGERS
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwasilisha mada ya kwanza juu ya Ukubwa wa Sekta ya Mawasiliano hapa nchini wakati wa Warsha ya siku mbili kwa...
View ArticleSUNDAY KAYUNI KUHUDHURIA KOZI YA WAKUFUNZI WA CAF CAMEROON
MKURUGENZI wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Sunday KayuniDAR ES SALAAM, TanzaniaMadhumuni ya warsha hiyo ni kuainisha majukumu yao, kubadilishana uzoefu, ikiwamo pia kuwapa...
View ArticleCHUO KIKUU BAGAMOYO KUWANOA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Prof. Costa Mahalu akizungumza wakati wa uzinduzi wa kozi mpya ya kuwanoa watetezi wa haki za binadamu katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki inayojulikana...
View ArticleMABINGWA ULAYA: BARCELONA, AJAX KIAMA NOU CAMP LEO
BARCELONA, HispaniaKiungo Mjerumani, Mesut Ozil atakuwa akicheza pambano lake la kwanza la Mabingwa Ulaya akiwa na jezi za Gunners, iliyomsajili kwa dau la pauni milioni 42.4 akitokea Real Madrid ya...
View Article