Wakulima;Ng’ombe 1,000 kutozwa Sh.50,000/- kila mmoja?
Na Bryceson Mathias, Sungaji MvomeroNG’OMBE zaidi 1,000 huenda wakatozwa faini ya sh. 50,000/- kila mmoja, baada ya walinzi wa Jadi wa Kijiji cha Kisala Kata ya Sunguji, kukamata Ng’ombe hao...
View ArticleCCM YAITEKA KAHAMA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kishepu Ndugu Isabela Chilumba wakati wa mapokezi yake katika kata ya Isaka.Wakazi wa Isaka wakiwasikiliza...
View ArticleRais Kikwete azindua miradi ya maji na umeme Sengerema
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi katika mradi wa maji Katika kijiji cha Katunguru/Nyamtelela wilayani Sengerema,Mkoani Mwanza leo. Kulia ni Waziri wa Maji Profesa Jumanne...
View ArticleMgogoro wa Wakulima na Wafugaji Mvomero ni Mtaji kwa Viongozi na wanasiasa!
Na Bryceson MathiasMGOGORO wa Wakulima na Wafugaji wa wilaya ya Mvomero, mbali ya kuathiri mazao na kuwasababisha Njaa wakazi hao, sasa umekuwa kama ni Mtaji wa Viongozi na Wanasiasa wilayani...
View ArticleSHIRIKISHO LA MUZIKI LATAKIWA KUMCHUKULIA HATUA SHILOLE
Na Elizabeth JohnMWENYEKITI wa Kamati ya Umoja wa Mashirikisho ya Sanaa Tanzania, Kimela Billa, ameutaka uongozi wa Shirikisho la Muziki Tanzania, kumchukulia hatua ya kinidhamu, msanii wa muziki wa...
View Article'ROHO' YA RICH MAVOKO MBIONI KUTOKA
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Richard Martin ‘Rich Mavoko’ anajipanga kuachia ngomayake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Roho Yangu’ ikiwa ni mfululizo wa kuwapa burudani...
View ArticleQ CHILLAH AIBUKA NA 'SINDANO ZA MASAA'
Na Elizabeth JohnMSANII wa muziki wa kizazi kipya, Abubakar Shaaban 'Q-Chilla', anatarajia kuachia kazi yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la ‘Sindano za Masaa’ hivi karibuni.Q Chilla hivi...
View ArticleBEN POL AIPUA 'WAUBANI'
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa RnB nchini, Bernad Paul ‘Ben Pol’, anajipanga kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Waubani’ ambao amemshirikisha chipukizi wa muziki huo, Alice ikiwa ni...
View ArticleUNYAMA HUU WA DC ISAAC WA KONDOA UNAKUBALIKA ZAMA HIZI ZA UHURU?
Na Bryceson MathiasHIVI karibuni, Mkuu wa Wilaya Mpya ya Chemba Kondoa, Francis Isaac, ametuhumiwa kuagiza Viongozi 19 wa kijiji cha Songambele warushwe kichura na kuvuliwa nguo kwa kushindwa kufyatua...
View ArticleROCK CITY MARATHON 2013 KUZINDULIWA SEPTEMBA 19
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi, akikata utepe kuzindua Mbio za Rock City Marathon 2012, katika hafla iliyofanyika mwaka jana katika Hoteli ya New Africa jijini Dar es...
View ArticleCRDB BANK YAZIDI KUFUNGUA FURSA KATI YA TANZANIA NA CHINA
Baadhi ya wateja wa Benki ya CRDB wakisoma vipeperushi vyenye taarifa za huduma mbalimbali za benki hiyo wakati wa maonesho ya bidhaa za China yanayofanyika Diamond Jubilee, Upanga jijini Dar es...
View ArticleKINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE KISHAPU KWA MAFANIKIO MAKUBWA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi waliofika kumpokea kwenye wilaya ya Kishapu katika eneo la Maganzo ambapo Katibu Mkuu alikuwa na ziara katika wilaya ya Kishapu.Katibu...
View ArticleRais Kikwete; Kataa Kusaini Muswada uliosababisha Ngumi bungeni!
Na Bryceson Mathias PAMOJA na kwamba Rais Jakaya Kikwete anakabiliwa na wakati mgumu kuamua kama atasaini au kukataa kusaini sheria ya muswada wa kuandika katiba mpya, ni rai yangu alitake bunge...
View ArticleWadau jitokezeni kusaidia vijana wenye vipaji vya muziki & sanaa
KUJUA ZAIDI KUHUSU UCA TANZANIA TAFADHALI TEMBELEA:- http://emmanuelewald1.wix.com/ucafrica
View ArticleTajiri Ng’ombe amuweka Kinyumba Mwanafunzi
Ø Mwalimu Mkuu, Mwenyekiti wadai hali hiyo ipo kijijini hapo.MWANAFUNZI wa Kidato cha Kwanza Jina linahifadhiwa wa Sekondari ya Mpwayungu, Kata hiyo Manispaa ya Chanmwino Dodoma, anadaiwa kuwekwa...
View ArticleTANZANIAN POPULAR FASHION DESIGNER SHERIA NGOWI WILL UNVEILS HIS COLLECTION...
Sheria Ngowi Company Limited, Assistant Director and Marketing Manager, Mr Deogratius Kessy (centre) elaborate a point to reporters not in picture about the invitation of Sheria Ngowi to the New York...
View ArticleKINANA ATEMBELEA VIWANDA VYA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA
Sehemu ya msafara wa Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukiingia Shinyanga Mjini. Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliofurika kwenye...
View ArticleKIVUMBI LIGI KUU YA ENGLAND KUENDELEA LEO
LONDON, EnglandMabingwa watetezi, Manchester United watakuwa nyumbani Old Trafford, kuwaalika Crystal Palace, katika mechi ya mapema, itakayofuatiwa na nyingine sita tofauti kwenye viwanja vya Villa...
View ArticlePADRI WA KANISA KATOLIKI AMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR, AKIMBIZWA HOSPITALI YA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Padri Joseph Monesmo Magamba, wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, alipofika katika Hospitali ya...
View ArticleMH. LOWASSA AKUTANA NA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU MKOANI TABORA NA...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) akiongozana na baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Tabora,wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ofisi za CCM...
View Article