Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

VYAMA VIKUU VITATU VYA UPINZANI VYAUNGANA KATIKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA

$
0
0
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akifafanua jambo wakati vyama vya upinzani vya Chadema, NCCR-Mageuzi na CUF  vilipokutuna  jijini Dar es Salaam na kutoa tamko la ushirikiano juu ya mustakabali wa mchakato wa katiba mpya, baada ya kupitishwa kinyemela kwa muswada wa marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba. Kushoto ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia na Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba.  (Picha na Francis Dande)









Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>