BENKI YA CRDB YAZINDUA KADI MPYA YA TEMBO CARD CHINA UNIONPAY
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa hafla ya uzinduzi wa kadi mpya ya Tembo Card China UnionPay. Mkurugenzi wa Masoko Utafiti...
View ArticleTANGAZO LA MSIBA WA VICKY KITOSI (DOTTO)
FAMILIA ya Mzee Augustino Mgonja wa Pugu Kajiungeni Dar es Salaam na Familia ya Marehemu Bwana na Bibi Henry Kitosi (Mwakitosi) wa Iringa zinasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wao, VICTORIA KITOSI...
View ArticleWANANCHI na Wakulima wapigwa mabomu wakipinga Wafugaji kulisha mazao yao
Na Bryceson Mathias, MvomeroMAANDAMANO ya amani ya Wananchi na Wakulima kwenda Kituo cha Polisi Turiani katika Halmashauri ya Manispaa ya Mvomero Morogoro wakipinga wafugaji kulisha eka tatu za mahindi...
View ArticleWASANII WASHIRIKIANA KUTOKOMEZA 'ZERO' MASHULENI
Na Elizabeth JohnWASANII wa muziki wa hip hop na bongo fleva nchini, wakutana na kutengeneza wimbo maalumu unaokwenda kwa jina la ‘Tokomeza zero’ kwa lengo la kuhamasisha wanafunzi mashuleni kupenda...
View Article'DOGO' WA SIR NATURE ASIKIKA REDIONI
Na Elizabeth JohnBAADA ya kutamba na kazi yake inayojulikana kwa jina la ‘Haipotei’, msanii wa muziki wa bongo fleva, Juma Kassim ‘ Sir Juma Nature’, anatarajiwa kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa...
View ArticleBARCELONA YABANWA UGENINI SPANISH SUPER CUP 2013, MESSI AUMIA HUKU NEYMAR...
Mshambuliaji Lionel Messi akitafakari mchezo ulivyokuwa ukienda wakati Barcelona ilipokuwa ikiumana na Atletico de Madrid na kutoka sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Vicente Calderon kuwania ubingwa wa...
View ArticleTID MNYAMA AISAMBAZA 'RAHA'
Na Elizabeth JohnBAADA ya kutamba na kibao cha ‘Kiuno’ msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khalid Mohamed ‘TID’ anatarajiwa kusambaza kibao chake kipya hivi karibuni kinachokwenda kwa jina la...
View ArticleMoto waunguza mitambo ya Songas Dar
Askari wa Kikosi cha zimamoto na Uokoaji wakizima moto uliokuwa unawaka katika mitambo ya kuzalisha umeme ya songas, Ubungo jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Francis Dande) DAR ES SALAAM,...
View ArticleKAMATI KUU YA CCM KUKUTANA KESHO
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo. Na Mwandishi Wetu Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC)...
View ArticleMKUTANO WA CHADEMA BEYA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa jiji la Mbeya, katika mkutano wa hadahara wa Mabaraza ya Wazi ya kujadili rasimu ya katiba,...
View ArticleBREAKING NEWS: SWAHILI RADIO YAZINDUA APP YA ANDROID PHONES, IPHONE,...
Swahili Radio baada ya kupokea maombi mengi ya wasikilizaji wetu kutoka sehemu mbalimbali duniani, tunapenda kuwatangazia kuwa Radio yetu kwa sasa inapatikana bila mkwaruzo katika simu za viganjani za...
View ArticleUbovu wa Katiba iliyopo!
Na Bryceson Mathias ‘Chuma hakiunganishwi na udongo’, Kikiunganishwa huachia. WANANCHI wengi na Wanasiasa, wamekuwa wakishutumu sera mbovu zilizopo za ‘kuwabeba’ wageni (wawekezaji), kutokana na...
View ArticleDC Mvomero amjia juu OCD kwa kupuuza Maagiyo ya Serikali
Na Bryceson Mathias, MvomeroMKUU wa Wilaya ya Mvomero na Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama, Antony Mtaka, akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama, Agosti 19, alimjia Juu Kamanda wa Polisi (OCD) wa Wilaya...
View ArticleRAIS ROBERT MUGABE ALA KIAPO
Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe akila kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe zilizofana sana katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22, 2013 Rais wa...
View ArticleDC Mvomero amjia juu OCD kwa kupuuza Maagizo ya Serikali
Na Bryceson Mathias, MvomeroMKUU wa Wilaya ya Mvomero na Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama, Antony Mtaka (pichani), akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama, Agosti 19, alimjia Juu Kamanda wa Polisi (OCD) wa...
View ArticleJWTZ KUTOA TAARIFA ZA KUTOROKA KWA LUTENI KANALI SEROMBA
JWTZ litatoa taarifa kuhusu kutoroka kwa Luteni Kanali Coelestine Seromba. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Makao Makuu ya Jeshi hilo, taarifa hizo zotatolewa Agosti 24.Imetolewa na:Kurugenzi ya...
View ArticleVPL KUANZA KUTIMUA VUMBI JUMAMOSI
Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2013/2014 inaanza kutimua vumbi kesho (Agosti 24 mwaka huu) katika viwanja saba tofauti huku mabingwa watetezi Yanga wakianza kutetea ubingwa wao kwa...
View Article