Washiriki Epiq BSS kuingia kambini
Jaji Mkuu wa shindano la kuimba la Epiq BSS, Ritha Paulsen, akizungumza na waandishi wa habari juu ya maendeleo ya shindano hilo. Anayemfuatia ni meneja wa vipindi wa TBC, Edna Rajab na Walter...
View ArticleArticle 2
Na Walter Mguluchuma, Mpanda KataviFundi aiskeli mmoja Mkazi wa Mtaa wa Nsemlwa Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi Athumani Mussa (54) amefikishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya...
View ArticleTMAA YAWANASA WATOROSHAJI WA MADINI
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa TMAA Bruno Mteta, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu madini yaliyokamatwa. wa pili kushoto ni Ofisa habari wa TMAA, Mhandisi, Yisambi...
View ArticleMTOTO AFARIKI DUNIA KWA KUZAMA MTO RUAHA
Na Denis Mlowe, IringaWATU wawili wamefariki dunia kwa kuzama maji akiwemo mtoto Gift Kadafu (2.5) mkazi wa kijiji cha Kitanzini Ndiwili, Wilaya ya Iringa,aliyefariki dunia baada ya kuzama kwenye Mto...
View ArticleMAJINA YA WAOMBAJI UONGOZI TFF, TPL BOARD YAWEKWA WAZI
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imebandika rasmi kwenye ubao wa matangazo majina ya waombaji uongozi kwenye uchaguzi wa TFF na Bodi ya Ligi Kuu (TPL Board) ili kutoa...
View ArticleMKUTANO WA CHADEMA LUDEWA, SONGEA
Mmoja wa wakazi wa mji wa Ludewa, Thadey Ngairo, akitoa maoni yake kuhusu katiba mpya, mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, wakati wa mkutano wa hadhara...
View ArticleKIFO CHA WAKALA WAKE KUMSTAAFISHA SOKA ANELKA
LONDON, England Anelka aliyesajiliwa West Brom kiangazi hiki, amepewa mapumziko maalum baada ya kuomba kustaafu soka kutokana na msiba wa wakala wake Eric Manasse na hatocheza pambano la leo Jumamosi...
View ArticleMAJERUHI LIONEL MESSI AITWA KIKOSINI ARGENTINA
BUENOS AIRES, Argentina Vyombo vya habari nchini hapa vimehoji uhalali wa maamuzi hayo ya kocha Alejandro Sabella kumuita kikosini, yaliyotafsiriwa kama kuhatarisha usalama wa nyota huyo katika...
View ArticleIKER CASILLAS AHAKIKISHIWA NAMBA TIMU YA TAIFA HISPANIA
Mlinda mlango na nahodha wa timu ya taifa ya Hispania, Iker Casillas katika moja ya mechi za timu hiyoMADRID, Hispania Wakati akiwa amepoteza namba ndani ya kikosi cha Real Madrid, Iker Casillas...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM TAIFA AWASILI DODOMA, AFUNGUA KIKAO CHA KAMATI KUU YA...
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono Viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliofika uwanjani kumlaki. Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleRais Kikwete aongoza kikao cha kamati kuu Dodoma
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimpokea Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma tayari kuendesha vikao vya Kamati kuu na...
View ArticleUSAJILI WA WACHEZAJI 37 WAKWAMA VPL
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezuia usajili wa wachezaji 37 wa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kutokana na usajili wao kuwa na kasoro.Klabu...
View ArticleMombasa port loses business as exporters opt for Dar es Salaam
Kenya Port Authority (KPA) is losing business to rival Dar es Salaam port as delay in cargo clearance in Mombasa prompts traders from neighbouring countries to turn to Tanzania.Data from KPA shows that...
View ArticleYANGA YAISHINDILIA ASHANTI UNITED 5-1
Wachezaji wa Ashanti United wakisalimiana na wachezaji wa Yamnga kabla ya mchezo. (Picha na Habari Mseto Blog) Beki wa Ashanti United, Ramadhani Malima akichuana na mshambuliaji wa Yanga, Hussein...
View ArticleJK AZINDUA BARAZA LA USHAURI LA WASTAAFU WA CCM,.AONGOZA KIKAO CHA NEC DODOMA
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwenda viwanja vya Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma leo kuzindua Baraza la Ushauri la Viongozi wastaafu wa...
View ArticleEXCLUSIVE " TOXIC DAY PARTY" YAFANA JIJINI LOS ANGELES WATU MAARUFU NA MAYOR...
Nick Young mcheza basketball Nyota wa L.A. Lakers akiwa na Mayor wetu wa jiji la Los Angeles Bwana Deo Temba katika Party maalumu "Toxic Day Party" iliyofanyika jijini Los Angeles, California leo. Kwa...
View ArticleKKKT DODOMA; WENGI WAGUSWA KUMCHANGIA NYUMBA YA ASKOFU NGOWO!
Nyumba ya Baba Askofu Festo Daudi Ngowo Nyumba ya Baba Askofu Ngowo ikionekana katika Pande zote 2 Nyumba ya Baba Askofu Ngowo ikionekana katika Pande zote 3 Na Bryceson Mathias, DodomaWAUMINI wengi wa...
View ArticleMECHI YA YANGA, ASHANTI YAINGIZA MIL 102/-
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Ashanti United iliyochezwa jana (Agosti 24 mwaka huu) katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 102,856,000.Watazamaji 17,744 walikata...
View Article