JWTZ litatoa taarifa kuhusu kutoroka kwa Luteni Kanali Coelestine Seromba. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Makao Makuu ya Jeshi hilo, taarifa hizo zotatolewa Agosti 24.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi.
Dar es Salaam.
Kwa Mawasiliano zaidi 0715-270136 au 0754-270136