TIMU MBILI ZAIDI ZAPETA RCL
Wakati Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) inaanza kutimua vumbi keshokutwa Mei 12, timu mbili zinakwenda moja kwa moja raundi inayofuata baada ya mabingwa wa Pwani, Kiluvya United kuondolewa na mkoa wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AHUDHURIA KIKAO CHA SADC CAPE TOWN
Rais Dk. Jakaya Kikwete akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Mratibu wa Asasi ya Bill and Melinda Gates Foundation, Mark Suzman jijini Cape Town, Afrika ya Kusini. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo Adam...
View ArticleBALOZI MPYA WA UMOJA WA FALME ZA KIARABU NCHINI TANZANIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania Abdulla Ibrahim AL-Suwaidi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar...
View ArticleWANAHISA CRDB WAPEWA SEMINA AICC ARUSHA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akifungua Semina ya Wanahisa wa benki hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC jijini Arusha juzi. Mkurugenzi wa...
View ArticleYAYA TOURE KUIBEBESHA UBINGWA WA FA MAN CITY LEO?
LONDON, EnglandAidha, Toure anaamini kuwa kustaafu ghafla kwa kocha Sir Alex Ferguson wa Manchester United, kutaingozea nguvu na kuibeba Man City katika msimu ujao wa Ligi Kuu na michuano ya...
View ArticleVodacom yaungana na UN wiki ya nenda kwa usalama
Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani Tanzania,Mohamed Mpinga akiongea na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mapambano , kuhusiana na masuala ya Usalama Barabarani katika kuadhimisha wiki ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AREJEA TOKA AFRIKA KUSINI LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymon Moshi mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
View Article'JAJI WEREMA HAWATENDEI HAKI WATANZANIA'
Na Bryceson MathiasWANANCHI wamekuwa na wasiwasi na hawaelewi kwa nini Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema alitaka baadhi ya mapendekezo ya taarifa kuhusu vigogo walioficha mabilioni ya...
View ArticleCRDB YAWANOA WAJASIRIAMALI KUPITIA KONGAMANO LA WANAWAKE
Mtangazaji wa kituo cha televisheni cha ITV, Rehema Salim (kulia), akiuliza jambo kuhusu Akaunti ya Malkia kwa Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Emmanuel Kiondo, mbele ya banda la benki hiyo wakati wa...
View ArticleWIGAN ILIVYOICHAPA MAN CITY NA KUTWAA UBINGWA WA FA
Mashabiki wa Wigan na Manchester City, wakiingia kwenye Uwanja wa Wembley jijini London, kushuhudia mechi ya fainali ya Kombe la FA, iliyoisha kwa Wigan kuichapa Man City bao 1-0 na kutwaa ubingwa wa...
View ArticleMBOWE AFANYA ZIARA KATIKA VITONGOJI JIMBO LA HAI
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Hai, akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa chama hicho Kijiji cha Mtakuja, Mzee Ally Mbatia. Mbowe yuko katika ziara ya kukagua uhai na kuimarisha...
View ArticleJUMUIYA YA UPENDO KKKT CHINAGALI YAFANYA MAKUBWA
Mchungaji Mama Kobwe akiweka Wakfu Vifaa vya Jumuia ya Upemdo KKKT Chinangali, walivyonunua kutumia kwenye Ibada za nyumba kwa nyumbaNa Bryceson Mathias. DodomaIBADA za Jumuia zinazomasishwa na Kanisa...
View ArticleTAIFA HILI LINAUMWA?
‘Siku ya Kufa Nyani Miti yote huteleza’Na Bryceson MathiasKILA siku najiuliza Swali, hivi Daudi Mwangosi Mungu amuweke Pema Peponi, angekuwa Mdogo wake na Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel...
View ArticleMeya Musoma; Sina Imani na Vinara wa Katiba
Na Bryceson Mathias MEYA wa Halmashauri ya Musoma na Katibu wa Madiwani na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Alex Kasurura (pichani), ameelezea wasi wasi wake...
View ArticleTendwa usiwe Kigeugeu
Na Bryceson Mathias LICHA ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini, John Tendwa kusema hoja nyingine zinazotolewa na vyama vya upinzani ni za msingi na zinatakiwa kufanyiwa kazi. Wananchi wa Kada...
View ArticleIRINGA WAZIPOKEA TUZO ZA SAFARI LAGER KWA SHANGWE
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akiwa ameshikilia Tuzo ya Bia ya Safari Lager mara baada ya kuipokea mkoani kwake mwishoni mwa wiki ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea...
View ArticleCRDB YAFANYA MKUTANO MKUU WA 18 WA WANAHISA JIJINI ARUSHA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akitoa mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 18 wa Wanahisa wa benki hiyo uliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC jijini Arusha,...
View ArticleTUICO yakabidhi cheti, rambirambi familia ya Tandau
Katibu mkuu Taifa wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO),Boniface Nkakatisi, akimpa pole mjane wa marehemu balozi Alfred Tandau, Margareth Tandau,...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA SAYANSI KATIKA KITUO CHA TAASISI YA KIMATAIFA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa wakizindua rasmi jengo la sayansi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MCHUNGAJI DKT. MATHEW BYAMUNGU NA MKEWE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mchungaji Dkt. Mathew Byamungu, wakati akimkaribisha Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Mei...
View Article