Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania Abdulla Ibrahim AL-Suwaidi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania Abdulla Ibrahim AL-Suwaidi,alipofikaIkulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania Abdulla Ibrahim AL-Suwaidi,baada ya mazungumzo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.