CHADEMA WAFANYA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA OFISI YA MKURUGENZI WA JIJI LA...
Wafuasi wa Chadema wakiandamana kuelekea katika ofisi za Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kwenda kumpongeza kwa kusimamia vizuri uchaguzi wa Madiwani. (Picha zote na Picha na Ferdinand Shayo) Wafuasi wa...
View ArticleDiwani wa CCM adai Waziri Makala hampendi!
Amosi MakalaNa Bryceson Mathias, Mvomero DIWANI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Mhonda, Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, Salum Mzugi, amesema, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na...
View ArticleVERONICA MHETA BINGWA SHINDANO LA KUONJA BIA TBL ARUSHA
Mshindi wa mwaka huu wa shindano la kuonja bia kwa waandishi wa habari Bi Veronika Mheta wa gazeti la serekali Habari leo akipokea zawadi ya ushindi begi mmoja katoni mbili za bia na mwamvuli na fulana...
View ArticleChuki ni uchafu wa moyo, na ni hasara kuwa nayo!
Na Bryceson MathiasSITAKI nikose kuamini kwamba, sasa nchini kuna Maharamia wasio na utu ambao wana chuki, lakini hawajui kuwa ni hasara kuwa navyo.Rafiki wa chuki ni Kisasi cha kulipiza, ambapo mtu...
View ArticleRAIS SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKIISHI WA UNICEF TANZANIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF nchini Tanzania Dk.Juma Gulaid, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumtambulisha Mkuu mpya...
View ArticleTANESCO YASAINI MKATABA WA NISHATI YA UMEME NA KAMPUNI YA CPI
Mkurugenzi wa Tanesco, Felchesmi Mramba akisaini hati na Mwenyekiti wa Kampuni ya Uwekezaji ya CPI, Lu Quizhou baada ya kuingia mkataba wa uwekezaji wa nishati ya Umeme jijini Dar es Salaam leo....
View ArticleMAKAMU WA RAIS KUFUNGA KOZI CHUO CHA ULINZI WA TAIFA
Mkamu wa RaisChuo cha Ulinzi wa Taifa (National Defence College), kinatarajia kufunga kozi kwa wahitimu kundi la kwanza wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa kwa mwaka 12/13.Sherehe hiyo itafanyika tarehe 20...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UKIMWI LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Ukimwi, UNAIDS, Michel Sidibe, wakati walipokutana katika...
View ArticleWASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NA WASANII WA FILM KUFAIDIKA NA SEMINA YA...
Kutoka Kulia ni Mwenyekiti wa TEHAMA Class na Msanii wa Kizazi Kipya Bongo Flave, Inspector Haorun aka Babu akiwa na watalaamu wa TEHAMA(ICT) wapili ni Diana Mtambalike ambaye ni Katibu wa kampuni...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUTURU NA WATOTO YATIMA IKULU
Watoto wakipata futari. (Picha na zote Freddy Maro) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasabahi baadhi ya watoto yatima walioshiriki katika futari aliyoiandaa ikulu jijini Dar es Salaam leo.Watot...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO ABUJA NIGERIA, AONDOKA LEO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio mjini Abuja, wakati alipokutana nao katika Makazi ya Ubalozi wa Tanzania...
View ArticleDUDE 'YAHAYA' WA LADY JAY D
Na Elizabeth JohnMSANII wa filamu za bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ anatarajia kucheza kama ‘Yahaya’ katika video ya wimbo huo, ulioimbwa na mwanadada Judith Wambura ‘Lady Jaydee’.Mwanadada huyo ameanza...
View ArticleLINEX AJIPANGA KUACHIA 'KIMUGINA'
Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Sunday Mangu 'Linex', anatarajia kusambaza ngoma yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la 'Kimugina'.Linex, kwa sasa anatamba na kazi yake...
View ArticleDOGO JANJA AENDELEA KUTESA
Na Elizabeth JohnWASANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ anatarajia kuachia ngoma yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la 'Maisha ya Skongo'.Akizungumza jijini...
View ArticleBENKI YA CRDB YAANZA ZOEZI LA KUPIMA AFYA ZA WAFANYAKAZI WAKE
Naibu Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka akizungumza wakati wa uzinduzi wa zoezi la upimaji afya kwa wafanyakazi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk...
View ArticleMWANDISHI WA HABARI MKONGWE, DAVID MAJEBELLE KUZIKWA MAKABURI YA KINONDONI...
MWILI wa mwandishi mkongwe David Michael Majebelle. aliyefariki alfajiri ya Jumapili iliyopita unatarajiwa kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni JIJINI Dar es Salaam Julai 18Kwa mujibu wa taarifa...
View ArticleWanahabari watembelea Mradi wa Uranium uliopo chini ya Kampuni ya Manrta...
Afisa wa Kitengo cha Usalama wa Kampuni ya Mantra Tanzania inayoshughulika na Mradi wa Uchimbaji Madini aina ya Uranium,uliopo kwenye Kijiji Mkuju,Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma,Fredrick Kriel akitoa...
View ArticleSerikali isiwafanye Walimu Panya!
Na Bryceson Mathias HIVI karibuni Serikali iliibuka kwa majigambo na mpango mahususi Matokeo Makubwa Sasa “Big Results Now”, uliolenga wizara sita, na Elimu, Mafunzo na Ufundi kuwa mojawapo. Tayari...
View ArticleVIDEO EXCLUSIVE EDWARD LOWASSA ATETA NA SWAHILI TV
MUDA 26 minsMahojiano Exclusive yaliyokuwa yakisubiriwa kwa hamu na dunia nzima. Angalia sasa. Mhe Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa alipozungumza na Swahili TV.
View ArticleWAKO WAPI WALIOKUWA WAKIPINGA GESI ISIJE DSM?
Na Happiness KatabaziMEI 26 mwaka huu, niliandika makala iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho “Heko JWTZ,Polisi kudhitibi vurugu Mtwara’.Makala hiyo niliitundika kwenye ukurasa wangu wa facebook;...
View Article