Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ARUSHA MUSTAFA PANJU AWATAKA WANANCHI KUKATAA RUSHWA

Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele yawananchi na wanachama wa chama hicho katika kata ya Moivaro ofisi...

View Article


Morani waua mkulima

 *Wamchoma mkuki, wampasua kichwaNa Bryceson Mathias, MbigiriVIJANA zaidi ya 40 wa jamii ya Kimasai (Morani) wamemuua mkulima, Maiko Ngorongoro (40), baada ya kumchoma mikuki ubavuni na kumpasua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA MANJANO FOUNDATION WAZINDUA MAFUNZO YA WAJASIRIAMALI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mama Shekha Nasser Akitoa Mada kwenye Mradi wake aliouanzisha kuwejengea Uwezo wanawake Kwenye  Ujasiriamali.Mafunzo hayo yalianza jana Chini ya Taasisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jezi mpya za Simba Sports Club kupatika kwenye duka la mtandao Jumia

 KLABU ya Simba kwa kushirikiana na Kampuni ya kuuza vitu kwa njia ya Mtandao ‘Jumia’ wamezindua huduma ya kununua jezi za Simba 2015-2016 ‘Jumia – Simba Online Shop’ kupitia katika duka la mtandao la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News, Lowasa avunja ukimya, ajiunga rasmi na Chadema

Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Edward Lowasa (pichani) amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya kutolizishwa na mchakato wa uteuzi wa wagombea wa urais uliomalizika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GOR MAHIA YAINGIA NUSU FAINALI KAGAME CUP

Mshambuliaji wa Gor Mahia ya Kenya,  Kagere Medie (katikati) akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Malakia katika mchezo wa robo fainali ya michuano ya Kombe la Kagame uliofanyika leo jijini Dar es...

View Article

Bi. Bernadette Mathias akiimba Wimbo wa Tanzania Nakupenda kwa Kiswahili

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANA CCM KINONDONI CHAGUENI EMMENUEL TAMILA MAJENE KWA MAENDELEO YA JIMBO NA CCM

 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA WAJITOKEZA WAKATI LOWASSA AKICHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA

Ofisi za Makao Makuu ya Chadema zinavyoonekea zikiwa zimepambwa kwa bendera za chama hicho huku umati wa watu ukiwa nje ukimsubiri Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa ambaye amejiunga na chama cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA UBUNGE ARUSHA ,MUSTAFA PANJU APANDIKIZA MBEGU YA UPENDO,AMANI NA...

Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akiwaonyesha kadi ya CCM inayoonyesha imani ya mwanachamana kwa wanahabari pamoja na wadau...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GOR MAHIA YAINGIA FAINALI YA MICHUANO YA KAGAME BAADA YA KUICHAPA KHARTOUM 3-1

 Kikosi cha timu ya Khartoum ya Sudan kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa nusu fainali ya michuano ya kombe la Kagame dhidi ya Gor Mahia ya Kenya kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS YOWERI MUSEVEN AFUNGUA MKUTANO WA MARAIS WASTAAFU KATIKA HOTELI YA...

Mh. Rais Yoweri Museveni wa Uganda akifungua rasmi mkutano wa Marais wastaafu wa Afrka AFRICA LEADERSHIP FORUM unaofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Mkutano huo unaojumuisha marais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI YA LEO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM KUCHEZA FAINALI YA KAGAME NA GOR MAHIA

 Beki wa Azam FC, Abbas  Mudathir Yahya akimiliki mpira huku akizongwa na mchezaji wa timu ya KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONNY MWAITEGE KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI

Mkurugenzi wa Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu Uzinduzi wa albam ya muimbaji wa nyimbo za injili Bonny Mwaitege utakaofanyika jumapili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAFANYIWA SHEREHE YA...

Baadhi ya washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 wakiwa katika Sherehe ya kukaribishwa katika Kijiji cha Makumbusho. Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Tanzania Jane Foster wa kwanza kulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA HERIETH PALLANGYO ULIVYOFANA

 Biharusi mtarajiwa Herieth Charles Pallangyo akiwa kwenye pozi muda mfupi kabla ya kuanza tafrija yake maalum ya kugana na familia yake kbla ya kufunga ndoa. Tafrija ya kumpongeza na kumuaga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHAMIM MWASHA ATOA MADA KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII

Mkurugenzi Mtendaji   8020 Fashion na  Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha  Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI YA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwaitege kuiteka Diamond Jumapili Dar, Munishi, Kilahiro, Sekereti, Atosha...

Muonekano wa Cover ya Albam ya Tunapendwa na Mungu.Mwimbaji wa nyimbo za injili, Bonny Mwaitege (katikati) akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zake mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>