NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KITAIFA YA NANENANE LINDI
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) inashiriki kwenye maonesho ya Nanenane ambayo Kitaifa yanafanyika kwenye viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.Katika maonesho hayo ambayo yanabebwa na Kauli Mbiu...
View ArticleLowassa aliipenda CCM Isiyompenda
‘Je Tuseme Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa Jiwe Kuu la Pembeni?’ Na Bryceson MathiasKATIKA gazeti la Tanzania Daima, Toleo Na.3729 Jumatano, Februari 18, 2015 kwenye Ukurasa wa Saba, lenye kichwa...
View ArticleTaswa FC yashinda 5-3, yaomba udhamini kwa wadau
Mchezaji wa Taswa FC, Shadrack Kilasi akimiliki mpira katika moja ya mechi za timu hiyo mkoani Iringa.Na Mwandishi wetuTimu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC imeendelea kutamba...
View ArticleAZAM FC MABINGWA WA KOMBE LA KAGAME 2015
Kombe la Kagame walilotwaa Azam FC. (Picha zote na Francis Dande) Nahodha wa Azam John Bocco akipokea kitita cha dola za kimarekani dola elfu 30.Viongozi wa Azam pamoja na wachezaji wakiwa katika picha...
View ArticleBONNY MWAITEJE AITIKISA DIAMOND JUBILEE
Mwimbaji nguli wa muziki wa injili Bonny Mwaitege akiimba katika uzinduzi wa albam zake kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana, uzinduzi ambao ulihudhuriwa na maelefu ya wapenzi wa...
View ArticleKILA LA HERI BINTI YETU ZAHARA KWENYE KURA ZA MAONI ZA UBUNGE WA CCM VIJANA...
Na Jeff Msangi wa TBN UghaibuniNyota njema huonekana asubuhi. Bila shaka umewahi kusikia msemo huu. Kwa Zahara Muhidini Issa Michuzi, nyota yake njema ni tunu ya uongozi. Tangu alipoweza kutambua maana...
View ArticleMALINZI AMSHUKURU TENGA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi amemshukuru Rais wa CECAFA, Leodgar Tenga kwa kuipa Tanzania uenyeji wa mashindano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame...
View ArticleFILAMU MPYA YA WAKE-UP KUZINDULIWA AGOSTI 30
Muandaaji wa Filamu ya Wake-Up, Manaiki Sanga (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu filamu hiyo mpya inayotarajiwa kuzinduliwa Agosti 30,...
View ArticleSHIRIKA LA BIMA LA TAIFA NIC LASHIRIKI MAONYESHO YA NANENANE MKOANI LINDI
Mkurugenzi wa Bima za Maisha Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Rose Lawa wa pili kutoka kulia na Elisante Maleko Kaimu Mkurugenzi wa masoko na Huduma kwa wateja kushoto pamoja na maofisa wengine wa...
View ArticleWaziri wa Kikwete akaribishwa Chadema atubu dhambi
Na Bryceson Mathias, MvomeroBAADA ya Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, kuangukia pua kwenye uchaguzi wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mvomero, Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleNYALANDU ASHINDA KURA ZA MAONI UBUNGE CCM SINGIDA KASKAZINI
Na Mwandishi WetuWAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameibuka na ushindi wa kishindo katika kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwania ubunge Jimbo la Singida...
View ArticleChadema msitumike kuchafuana
Na Bryceson Mathias, MvomeroKATIBU wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mvomero, Ramadhani Mrisho, amewataka washindi wa kura za maoni ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleMwili wa marehemu mzee Francis Kitime wasafirishwa kwa mazishi
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya marehemu Mzee Francis Raphael Kitime wakiwa katika ibada ya kumuombea jana jijini Dar es Salaam. Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Huruma ya Wagonjwa...
View ArticleBANDA LA NSSF LAVUTIA WENGI MAONYESHO YA NANENANE LINDI
Meneja wa Mfuko wa PPF Kanda ya Kusini, Ndandavala akipewa maelezo na Ofisa Uhusiano Muandamizi Salim Kimaro alipotembelea Banda la NSSF kwenye maonyesho ya Nananane.Afisa Uendeshaji Muandamizi Bi....
View ArticleBODI YA USAJILI WA WAHANDISI (ERB) YAELEZEA MAFANIKIO KWA KIPINDI CHA MWAKA...
Msajili Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Mhandisi Steven Mlote (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya...
View ArticleMAMIA WAJITOKEZA DK. MAGUFULI AKICHUKUA FOMU YA URAIS
Dk. John Magufuli na mgombea mwenza wakianza safari ya kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu ya kugombea urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi. (Picha na Francis Dande)Makada wa CCM wakiongonzwa...
View ArticleRAIS KIKWETE ASAINI SHERIA MPYA YA USIMAMIZI WA MAFUTA NA GESI
Rais Jakaya Kikwete akitia sahihi sheria mpya ya usimamizi wa mapato ya mafuta na gesi jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Saada Mkuya. (Picha na Loveness Bernard). Aliyekuwa Mkurugenzi...
View ArticleWAKULIMA WA VIJIJI VYA DOLE WAKABIDHIWA HATI YA UMILIKI WA ENEO LA KILIMO
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi Hati ya umiliki wa eneo la Kilimo kwa Bwana Yuweni Kibwana Nzukwi Mmoja miongoni mwa wakulima wa Vijiji vya Dole, Ndunduke na...
View Article