


Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akisisitiza wananchi kwa ujumla kuwa na Upendo,Amani na Mshikamano na kusisitiza kuwa atamuunga mkono mgombea yeyote atakayepitishwa na chama cha mapinduzi,kulia nia Kassim Mamboleo katibu wa kamati ya Ushindi


