KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA JOZI LOUNGE CHAZINDULIWA MSASANI VILLAGE JIJINI...
Kiota Kipya Cha Maraha kimezinduliwa Kimezinduliwa Jijini Dar es Salaam jana Jiioni. Kiota hicho Jozi Lounge, inapatikana Pande za Msasani Village, jirani kabisa na Shule ya Msingi Msasani. Mmiliki wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL, ASHIRIKI KUAGA MWILI WA BABA WA MKURUGENZI WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Baba wa Mkurugenzi wa NHC Nehemia Mchechu alipofika nyumbani kwake...
View ArticleDKT MAGUFULI AREJEA JIJINI DAR BAADA YA KUJITAMBULISHA MIKOA KADHAA,APOKELEWA...
Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Chalinze (hawapo pichani) alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani...
View ArticleNANI NI NANI KATI YA YANGA NA KHARTOUM JUMAPILI?
Hatua ya makundi ya michuano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup 2015) inatarajiwa kukamilika kesho jumapili kwa michezo miwili kupigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku...
View ArticleKigaila wa Chadema awabwaga washindani wake kura za maoni Dodoma Mjini
Na Bryvceson Mathias, DodomaMKURUGENZI wa Oganaizeisheni na Mafunzo ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila, ameibuka Mshindi katika Kura ya Maoni ya Chama hicho, kugombea ubunge...
View ArticleLEMA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA NA JOYCE MUKYA
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akizungumza katika uchaguzi wa kumpata Mbunge pamoja na Mbunge viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA)jijini Arusha ambapo aliibuka...
View ArticleMadaktari Diaspora kutoka Marekani wakitowa Huduma ya Elimu kwa Wanafunzi wa...
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora Zanzibar Ndg Adila Hilal Vuai, akiutambulisha Ujumbe wa Madaktari Diaspora kutoka Washington walioletwa na Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi...
View ArticleCHADEMA MOSHI MJINI WAMPITISHA JAFARY MICHAEL KUWANIA UBUNGE WA JIMBO HILO
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Moshi mjini wakiwa katika mkutano maalumu wa kumchagua mtia nia atakaye peperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi...
View ArticleWATIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI KUPITIA CCM WAJINADI MBELE YA...
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini Priscus Tarimo akijinadi mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Mapinduzi kata ya Mawenzi wakiwasikiliza...
View ArticleYANGA YAIFUNGA KHARTOUM YA SUDAN 1-0
Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika mchezo wa Kombe la Kagame dhidi ya Khartoum ya Sudan uliofanyika kwenye Uwanja wa...
View ArticlePhidesia Mwakitalima ashinda kura za maoni
Mbunge viti maalum Wazazi Phidesia Mwakitalima aliyeshinda katika kura za maoni za kutafuta wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kupitia jumuiya ya wazazi wa CCM akizungumza katika mkutano wa chama...
View ArticleBulaya: Asante kuuhesabu U-DC, uwaziri kama majitaka
Na Bryceson MathiasAKIHUTUBIA katika mkutano wa hadhara uliofanyikia katika viwanja vya stendi ya zamani mjini Bunda hivi karibuni, aliyekuwa Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Bulaya, baada ya...
View ArticleChadema: Magufuli, CCM hawamtangulizi Mungu
Na Bryceson Mathias, MorogoroCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimempasha na kumjibu mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli, kwamba CCM imemtanguliza shetani badala ya...
View ArticleROBO FAINALI KAGAME KUANZA KESHO
Hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup 2015) inatarajiwa kuanza kesho Jumanne kwa michezo miwili kuchezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es...
View ArticleJezi mpya za Simba Sports Club kupatika kwenye duka la mtandao Jumia
NA TATU MOHAMEDKLABU ya Simba kwa kushirikiana na Kampuni ya kuuza vitu kwa njia ya Mtandao ‘Jumia’ wamezindua huduma ya kununua jezi za Simba 2015-2016 ‘Jumia – Simba Online Shop’ kupitia katika duka...
View ArticleMBUNGE CHIKU ABWAO WA CHADEMA AMFUATA ZITTO KABWE ACT-WAZALENDO
Katibu wa Mipango na Mikakati wa Chama cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleWAMACHINGA WALIOVAMIA JANGWANI WAPEWA SIKU 2 KUHAMA
MKUU wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi akishirikiana na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Issaya Mngurumi, wametoa siku mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo (Wamachinga), waliovamia eneo la Jangwani kuwa hadi...
View ArticleWakulima waruhusu maiti waliyoizuia ichukuliwe na Polisi
Na Bryceson Mathias, KilosaHATIMAYE wakulima wenye hasira wa Kijiji cha Mbigiri, Kilosa Morogoro, wameruhusu maiti ya Maiko Ngorongoro(40), aliyeuawa na vijana zaidi ya 40 wa jamii ya Kimasai (morani)...
View Article